ETV waungana na WCB, Clouds mtaomba poo mwaka huu!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Please Nipeni Break

Hahaha Jk alisema ukitaka kula lazima uliweee, huu mchezo wa kumkumbatia Makonda hauhitaji hasiraaaa ,ajiandae tu na hotuba za Makonda na wananchi wake wa Dar
 
Siamini kwamba ili ufanye vizuri ni lazima mwenzio ashushwe.. Kila mtu afanye kazi kwa viwango vyake walaji ndio waamue.

Binafsi Clouds itabaki kua bora kwangu, nangojea nione hao wengine wanakuja na nini
 
inawez
CloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
ekana mie na watz wengi sana hatusikizi clauds tena mambo ni EFM .......... tanfu kina pj wahame niliwapotezea clauds japo najua huyu mlevi mmoja karudi clauds mie sijarud bado nipo Efm na kina baby mama nawengineo
 
Kwanza uku kwetu mkoani clouds haishk sikuiz sijui shida nini
 
Mnaiundia UKAWA clouds sio....nendeni pia mkaungane na CNN,BBC n.k Clouds ni Clouds tu...
 
CloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
Inawezekana wewe jamaa hauna uelewa clouds fm ni kituo kidogo sana ukilinganisha na EA Radio kwa kifupi tu ukiona kituo cha redio kinatumia neno Radio jua hicho kituo ni kikubwa sana mfano BBC Radio, Radio One, masafa yake ni marefu sana ni juzi juzi tu clouds fm ndo imeingia kwenye satelite wakati EA Radio ilikua huko miaka mingi sana inachanja mbuga Nairobi, Kampala na kwengine kote huko...
 
Hii avatar yako,inatumiwa na member Mkongwe sana hapa JF nimemsahau jina,otherwise labda kama ni Multiple ID!!
 
Ruge ni mpuuzi tu ambaye kaendekeza njaa na ujuaji..sisikilizi clouds tokea mwaka 2013. Wala siende mafiesta yao..!!
 
Ili wasafi TV iwe juu lazima mawingu ishushwe????

Kweli bongo bahati mbaya
Mafahari wawili hawakai zizi moja haziwezi zikawika sawa lazima moja iwe chini kidogo. Na siyo kwamba inashushwa lahasha inapitwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…