gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Hahahahahaaa bosi umenivunja mbavu eti ijue dodoma hahaha itakua TBC3
Jamani Dodomaaaaaa Dodoma ya watanzaniaaaaa, ule wimbo wa Remy kila dakika 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa bosi umenivunja mbavu eti ijue dodoma hahaha itakua TBC3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Please Nipeni Break
watu gani wako against na raia?
Kwa hip ni bora tumshushe diamond kuliko kuwa Na watu kama diamond wengi?Swali la msingi: Ni bora tuwe na vituo vingi kama CLOUDS au tuishushe CLOUDS ili nyingine moja tu iwe juu???
ekana mie na watz wengi sana hatusikizi clauds tena mambo ni EFM .......... tanfu kina pj wahame niliwapotezea clauds japo najua huyu mlevi mmoja karudi clauds mie sijarud bado nipo Efm na kina baby mama nawengineoCloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
Inawezekana wewe jamaa hauna uelewa clouds fm ni kituo kidogo sana ukilinganisha na EA Radio kwa kifupi tu ukiona kituo cha redio kinatumia neno Radio jua hicho kituo ni kikubwa sana mfano BBC Radio, Radio One, masafa yake ni marefu sana ni juzi juzi tu clouds fm ndo imeingia kwenye satelite wakati EA Radio ilikua huko miaka mingi sana inachanja mbuga Nairobi, Kampala na kwengine kote huko...CloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
Ni bora tuwe na vituo vingi kama Clouds, kuliko kuishushaSwali la msingi: Ni bora tuwe na vituo vingi kama CLOUDS au tuishushe CLOUDS ili nyingine moja tu iwe juu???
Ni bora tuwe na akina DIAMOND wengi!!muda mwingine swali hujibiwa kwa swali....Ni bora tuwe na Wasanii wengi kama DIAMOND au tumshushe DIAMOND ili mwingine mmoja awe juu?
Now u got ur answer...tell da f@#% Ruge to stop hating Chibu & WCB team in General!!Ni bora tuwe na akina DIAMOND wengi!!
Hii avatar yako,inatumiwa na member Mkongwe sana hapa JF nimemsahau jina,otherwise labda kama ni Multiple ID!!Inawezekana wewe jamaa hauna uelewa clouds fm ni kituo kidogo sana ukilinganisha na EA Radio kwa kifupi tu ukiona kituo cha redio kinatumia neno Radio jua hicho kituo ni kikubwa sana mfano BBC Radio, Radio One, masafa yake ni marefu sana ni juzi juzi tu clouds fm ndo imeingia kwenye satelite wakati EA Radio ilikua huko miaka mingi sana inachanja mbuga Nairobi, Kampala na kwengine kote huko...
Sio washirika wakuu,bali coverage kubwa na wasikilizaji wengiSababu serikali na washirika wake wakiwa na cha kuongea wanakimbilia uko
Mbona nyimbo za mondi zimefungiwa
Mafahari wawili hawakai zizi moja haziwezi zikawika sawa lazima moja iwe chini kidogo. Na siyo kwamba inashushwa lahasha inapitwa.Ili wasafi TV iwe juu lazima mawingu ishushwe????
Kweli bongo bahati mbaya
Sidhani kama inashushwa bali inapitwa ubora kitachoishusha labda wasikilizaji waamue kuihamaSwali la msingi: Ni bora tuwe na vituo vingi kama CLOUDS au tuishushe CLOUDS ili nyingine moja tu iwe juu???