Hopeless comment!Tanzanian Future is doomed. If this is where their stupidity is leading them to
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hopeless comment!Tanzanian Future is doomed. If this is where their stupidity is leading them to
😂😂utapigwa ban wewe 😂shauri yakoChama Cha Mafisi.
Kenya sio failed state. Na hakuna kitu kama failed state katika vitabu vya somo la uchumi. Failed state is not an economic term, get that into your thick skull. Nchi ambazo ni failed state katika lugha ya uchumi tunaziita LDC yaani least developed countries. Hamna category duni kushinda LDC katika category za kiuchumi. Failed state ni political terminology lakini sio economic terminologyLDC ambayo ina attract FDI mara mbili ya Kenya na moja ya uchumi unao kuwa kwa haraka zaidi Africa. Tell us what makes Kenya a failed state?
Ningekua nina nguo chafu hili povu linge nifaa sana [emoji23]Kenya sio failed state. Na hakuna kitu kama failed state katika vitabu vya somo la uchumi. Failed state is not an economic term, get that into your thick skull. Nchi ambazo ni failed state katika lugha ya uchumi tunaziita LDC yaani least developed countries. Hamna category duni kushinda LDC katika category za kiuchumi. Failed state ni political terminology lakini sio economic terminology
Mnajifanya kujua mingi na Kumbe nyinyi ni economic dwarfs. Mnafaa kujua kuna mahali ubongolala haupelekwi. Sasa mnatarajia investors wakuje Tz kutafuta nini if this is how you treat others.
LDC ambayo ina attract FDI mara mbili ya Kenya na moja ya uchumi unao kuwa kwa haraka zaidi Africa. Tell us what makes Kenya a failed state?
Yule mchina kwanini mlimfukuza! Sasa Tz inaenda mbali zaidi ata ukiwa na status gani utafurumushwa tu.
Kizungu cha kanyan'gau....its not easy man...
Wewe ni kilaza tu, usijifanye mjanja. Kuna tofauti kubwa kati ya its na it's...for Tanzanian low brain, lazima tushuke to your level ili tusemezane.
Hakuna kushuku, you're just a hater biased and jealous of CCM. This political party umezaliwa umeikuta, utakufa imeizidi kenya kiuchumi.Swali nataka ujiulize, ni jambo gani lilifanya EU envoy afurushwe?., ya mchina kifirushwa Kenya ni sababu dhabiti., kama ya huyu envoy ni kwasababu ya dharau ama kujaribu kudhalilisha Tanzania I fully support the govt of Tz's action; lakini nashuku, vile naelewa the propagandist CCM govt., wakiambiwa ukweli wananuna., lazima walishikwa pabaya, the guy may have criticized Pombe's style of leadership.,etc(opinion).
Hakuna kushuku, you're just a hater biased and jealous of CCM. This political party umezaliwa umeikuta, utakufa imeizidi kenya kiuchumi.
Kilaza hujitetea kwa typo.Typo inakubalika., mradi umeelewa kile kinazungumziwa., now that umesahihisha what's your point on the OP?.,
Ukishakariri kizungu ndio unajionaa, ha ha ha.Kojoa ulale, hauna lolote, low Tanzanian mind; mwana CCM pole kaka.