EU Envoy atimuliwa Tanzania kwa kitoelewana na CCM govt.

LDC ambayo ina attract FDI mara mbili ya Kenya na moja ya uchumi unao kuwa kwa haraka zaidi Africa. Tell us what makes Kenya a failed state?
Kenya sio failed state. Na hakuna kitu kama failed state katika vitabu vya somo la uchumi. Failed state is not an economic term, get that into your thick skull. Nchi ambazo ni failed state katika lugha ya uchumi tunaziita LDC yaani least developed countries. Hamna category duni kushinda LDC katika category za kiuchumi. Failed state ni political terminology lakini sio economic terminology
 
Ningekua nina nguo chafu hili povu linge nifaa sana [emoji23]
 
Mnajifanya kujua mingi na Kumbe nyinyi ni economic dwarfs. Mnafaa kujua kuna mahali ubongolala haupelekwi. Sasa mnatarajia investors wakuje Tz kutafuta nini if this is how you treat others.

Tunataka investors ila haina maana hii nchi inaishi wapuuzi,kisa wewe ni investor unafanya chochote,hii ni tz bro.
 
Why is the "growth" not translating to tangible results kwa wananchi, vipi Tz inaleta aibu EAC on extreme poverty index report kila mwaka?., mbona mashambani watu wanalalama? Mjini bigger percentage ni hustlers tupu., (over 70%!!!).,
Wacha porojo, amka kaka, shighulikia hali yenyu kama raiya mzalendo not merely blind patriotism na kishabikoa porojo, ila kiukweli mpo pabaya.
LDC ambayo ina attract FDI mara mbili ya Kenya na moja ya uchumi unao kuwa kwa haraka zaidi Africa. Tell us what makes Kenya a failed state?
 
Swali nataka ujiulize, ni jambo gani lilifanya EU envoy afurushwe?., ya mchina kifirushwa Kenya ni sababu dhabiti., kama ya huyu envoy ni kwasababu ya dharau ama kujaribu kudhalilisha Tanzania I fully support the govt of Tz's action; lakini nashuku, vile naelewa the propagandist CCM govt., wakiambiwa ukweli wananuna., lazima walishikwa pabaya, the guy may have criticized Pombe's style of leadership.,etc(opinion).
Yule mchina kwanini mlimfukuza! Sasa Tz inaenda mbali zaidi ata ukiwa na status gani utafurumushwa tu.
 
Swali nataka ujiulize, ni jambo gani lilifanya EU envoy afurushwe?., ya mchina kifirushwa Kenya ni sababu dhabiti., kama ya huyu envoy ni kwasababu ya dharau ama kujaribu kudhalilisha Tanzania I fully support the govt of Tz's action; lakini nashuku, vile naelewa the propagandist CCM govt., wakiambiwa ukweli wananuna., lazima walishikwa pabaya, the guy may have criticized Pombe's style of leadership.,etc(opinion).
Hakuna kushuku, you're just a hater biased and jealous of CCM. This political party umezaliwa umeikuta, utakufa imeizidi kenya kiuchumi.
 
It will never happen, ceteris paribus, maybe as a propaganda ya kupumbaza raiya wa Tz., though kuna posibility sikatai if only they change their mindset, abandon propaganda, and dictatorial stance.,
Hakuna kushuku, you're just a hater biased and jealous of CCM. This political party umezaliwa umeikuta, utakufa imeizidi kenya kiuchumi.
 
Typo inakubalika., mradi umeelewa kile kinazungumziwa., now that umesahihisha what's your point on the OP?.,
Wewe ni kilaza tu, usijifanye mjanja. Kuna tofauti kubwa kati ya its na it's.
 
Inamaana uzi huu javascript ilikuaa imezuiliwa?
 
Back
Top Bottom