EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Sasa ndio wanajua hawajui 🤣 🤣 🤣Tuliwambia toka mapema kuwa huyo mnayetaka kumuwekea vikwazo yeye sio ZIMBAMBWE,Ila jeuri imewaponza mkaweka vikwazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio wanajua hawajui 🤣 🤣 🤣Tuliwambia toka mapema kuwa huyo mnayetaka kumuwekea vikwazo yeye sio ZIMBAMBWE,Ila jeuri imewaponza mkaweka vikwazo
Ndio maana najihami mapema redioni ajitoe tu kwenye vikwazo afanye biasharaHuko Hungary wananchi wameanza kufanya maandamano yasiyo na mwisho kutokana na Tax increase. Hii nyongeza ya kodi ni kwenda kufidia budget deficit ambayo imesababishwa na hali mbaya ya uchumi.
Wakati unasubiri long run effect unaishije saivi? mbolea? ngano? gesi? mafuta? kumbuka Russia sio mjinga kuanza kufunga gesi na mafuta kipindi hiki na kumbuka vikwazo ni vya NATO tu, china India, Iran, South Africa na SouthAmerican countries wana ushirika na RussiaNi kweli sanctions walizowekewa Russia siyo kwamba ,wazungu walikua hawajui zitawathiri ila impact yake siyo kubwa kama itakayompata mrusi,ujue Russia ni nchi ya kibiashara na pia ni mzalishaji,ana viwanda zaid ya elfu 10 ,ana makapuni ya kibiashara mengi sana ulaya na Asia ,ana ushirika mkubwa sana wa kiuzalishaji baina yake na ulaya na Asia ,hivyo vikwazo vya kutotumia dola,VISA,kuondolewa kwenye mfumo wa kibiashara wa dunia ,inter bank systems, kuzuiliwa kwa safar za anga,ukamataj wa Mali na makampuni yote ya Russian yaliyoko ulaya na baadhi ya nchi za Russia ,kiukweli haya ni machache nimetaja ila in long run kama vikwazo hivi vitaendelea wazungu watatafuta njia mbadala ya kuishi bila urusi ,ni wazi in short run ulaya na Asia watapata maumivu ya kiuchumi ila wakitoka mrusi hatakua salama ,hali ni mbaya sana huwez ukawa na kiwanda ukataka kuwekeza Russia kwa sasa maana siyo salama.
When trade between Russia and all other countries is blocked for a year, the impact on the world economy would be −0.7%. By country, the impact on Russia would be −15.8%, China −0.9%, the EU −0.5%, the US −0.1%, and Japan −0.1%
Nakuunga mkono kwa 100%Binafsi nawashangaa sana viongozi wa Ulaya wanaendeshwa puta na Merikani ikishirikiana na Uingereza kwa zaidi ya miaka 70 (sabini) wala hilo hawalishitukii wapo wapo tu!!
Miaka ya nyuma Amerika ilisema wazi wazi, kwamba inacho tafuta kwenye bara la Ulaya ni kuondoa influence ya Urusi kwa kutumia mbinu mbali mbali za kuzitisha tisha nchi za Ulaya kuhusu ubaya wa Warusi - ulaghai mtupu. Vile vile Merikani iendelea kusema lengo lake la pili ni kuhakikisha Ujerumani haikui sana kiuchumi ndio maana walikuwa wanapiga vita nishati ya gesi ya Urusi kununuliwa huko Ujerumani walijuwa ni nyenzo muhimu za kuendeshea viwanda vikubwa huko Ujerumani, deep down USA hataki Ujerumani ipige hatua kubwa kiviwanda na kiuchumi, Ufaransa nayo iliwahi kufanyiwa hujuma na USA kwenye Kampuni ya kifaransa (Alstrom) CEO wake kafunguliwa mashtaka ya Uongo na kweli,halafu kalazimishwa kuuza umiliki wa kampuni kwa kampuni ya Merikani, hujuma kama hizo ziliwahi kukumba makampuni ya Kijapan (JVC, Hitachi na Toshiba).Juzi juzi hapa walijaribu kuihujumu kampuni ya kichina (Huawei) wakamshikiria binti wa CEO huko Canada wakabuni mashitaka ya Ugongo na kweli lakini lengo hasa walitaka kumtumia binti Huawei CEO kumu-blackmail CEO ili awauzie kampuni yake na IPs zote za 5G - ndio ma Mafias hawa walivyo, wako tayari kuingia/anzisha vita kupora rasili mali za wengine.
Ni kweli sanctions walizowekewa Russia siyo kwamba ,wazungu walikua hawajui zitawathiri ila impact yake siyo kubwa kama itakayompata mrusi,ujue Russia ni nchi ya kibiashara na pia ni mzalishaji,ana viwanda zaid ya elfu 10 ,ana makapuni ya kibiashara mengi sana ulaya na Asia ,ana ushirika mkubwa sana wa kiuzalishaji baina yake na ulaya na Asia ,hivyo vikwazo vya kutotumia dola,VISA,kuondolewa kwenye mfumo wa kibiashara wa dunia ,inter bank systems, kuzuiliwa kwa safar za anga,ukamataj wa Mali na makampuni yote ya Russian yaliyoko ulaya na baadhi ya nchi za Russia ,kiukweli haya ni machache nimetaja ila in long run kama vikwazo hivi vitaendelea wazungu watatafuta njia mbadala ya kuishi bila urusi ,ni wazi in short run ulaya na Asia watapata maumivu ya kiuchumi ila wakitoka mrusi hatakua salama ,hali ni mbaya sana huwez ukawa na kiwanda ukataka kuwekeza Russia kwa sasa maana siyo salama.
When trade between Russia and all other countries is blocked for a year, the impact on the world economy would be −0.7%. By country, the impact on Russia would be −15.8%, China −0.9%, the EU −0.5%, the US −0.1%, and Japan −0.1%
kabisaSasa ndio akili zimeanza kuwarudia taratiiiiibu
Ni kweli sanctions walizowekewa Russia siyo kwamba ,wazungu walikua hawajui zitawathiri ila impact yake siyo kubwa kama itakayompata mrusi,ujue Russia ni nchi ya kibiashara na pia ni mzalishaji,ana viwanda zaid ya elfu 10 ,ana makapuni ya kibiashara mengi sana ulaya na Asia ,ana ushirika mkubwa sana wa kiuzalishaji baina yake na ulaya na Asia ,hivyo vikwazo vya kutotumia dola,VISA,kuondolewa kwenye mfumo wa kibiashara wa dunia ,inter bank systems, kuzuiliwa kwa safar za anga,ukamataj wa Mali na makampuni yote ya Russian yaliyoko ulaya na baadhi ya nchi za Russia ,kiukweli haya ni machache nimetaja ila in long run kama vikwazo hivi vitaendelea wazungu watatafuta njia mbadala ya kuishi bila urusi ,ni wazi in short run ulaya na Asia watapata maumivu ya kiuchumi ila wakitoka mrusi hatakua salama ,hali ni mbaya sana huwez ukawa na kiwanda ukataka kuwekeza Russia kwa sasa maana siyo salama.
When trade between Russia and all other countries is blocked for a year, the impact on the world economy would be −0.7%. By country, the impact on Russia would be −15.8%, China −0.9%, the EU −0.5%, the US −0.1%, and Japan −0.1%
Mkuu umenielewa lakini wenzako wanatafuta sulihisho kwanza nikwambie tuu ngano asilimia kubwa wanunuz wanatoka African ambao ni Egypt, Algeria,Morocco, na south Africa ,nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa ngano duniani ni China inafuata Marekani ,pia kama ulishawasoma mbolea wanatafuta tu suluhisho la mda mfup ila hawata mtegemea ,time will talk brotherWakati unasubiri long run effect unaishije saivi? mbolea? ngano? gesi? mafuta? kumbuka Russia sio mjinga kuanza kufunga gesi na mafuta kipindi hiki na kumbuka vikwazo ni vya NATO tu, china India, Iran, South Africa na SouthAmerican countries wana ushirika na Russia
Haya tusubiri hayo ya mbele huko saivi tunadili na haya ya sasaMkuu umenielewa lakini wenzako wanatafuta sulihisho kwanza nikwambie tuu ngano asilimia kubwa wanunuz wanatoka African ambao ni Egypt, Algeria,Morocco, na south Africa ,nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa ngano duniani ni China inafuata Marekani ,pia kama ulishawasoma mbolea wanatafuta tu suluhisho la mda mfup ila hawata mtegemea ,time will talk brother
Bila kusahau utegemezi wao kwa gas ya Russia kwa 60% hilo gepu wanaliziba lini?Mpaka sasa EU wamekosa mbadala wa nishati ya Russia, hatujaja kwenye chakula etc. Europe inamtegemea Russia kwa zaid ya 40% unafikiri kuja kupata mbadala wa 40% ni leo au kesho?? Ni miaka mingi sana hapo. Ndo ujue EU hawakujipanga nilitegemea wangekua na mbadala tayari mwisho wa siku wamekua watu wa vikao na kuruka rukaruka kama chura.
truth [emoji817]Sanctions haziwezi fanya kazi kwa nchi iliyobarikiwa kuwa na natural resources. China iko tayari kuchukua gas yote iliyokuwa inakwenda EU sasa ndo ufikirie India imeongeza supply ya oil mpaka kufikia barrel 900k. Kumbuka kuna trade route mpya imeanzishwa btn Iran, Russia na India.
BRICS inazidi kupaaa wamekubaliana kuendelea kushirikiana kiuchumi nchi kama Iran, turkey, egypt, saudia, Argentina zimeomba membership unafikiri kwanini wameona future ya BRICS. Russia anaishi na vikwazo toka muda na hajwai tetereka, kama mnafikiri Russia ataanguka msaahau.
Kwanza vikwazo alivyopewa vimeanza kuwaathiri haohao waliompa, Euro imeporomoka thamani, maisha ya EU yamekua magumu inflation inapaa. Tunaona viongozi wao wa kisiasa wana resign.
Mpaka sasa EU wamekosa mbadala wa nishati ya Russia, hatujaja kwenye chakula etc. Europe inamtegemea Russia kwa zaid ya 40% unafikiri kuja kupata mbadala wa 40% ni leo au kesho?? Ni miaka mingi sana hapo. Ndo ujue EU hawakujipanga nilitegemea wangekua na mbadala tayari mwisho wa siku wamekua watu wa vikao na kuruka rukaruka kama chura.
Bro Russia hawajakurupuka wamejipanga vizuri sana hawa sio watu wakubahatisha wanajua nini wanafanya, wamejaliwa kuwa na watu wenye akili sana na wazalendo.
Well said mkuu, na kikubwa zaidi mataifa mengi yanataka kujiunga na shirika la BRICS - One may ask, what does that tell you?Wakati unasubiri long run effect unaishije saivi? mbolea? ngano? gesi? mafuta? kumbuka Russia sio mjinga kuanza kufunga gesi na mafuta kipindi hiki na kumbuka vikwazo ni vya NATO tu, china India, Iran, South Africa na SouthAmerican countries wana ushirika na Russia
Unaongea ujinga , kama hivyo ndivyo why West wanalia Lia Why Pesa ya Russia inazidi kupanda nakuwa juu ya pound na Dolla!?Ni kweli sanctions walizowekewa Russia siyo kwamba ,wazungu walikua hawajui zitawathiri ila impact yake siyo kubwa kama itakayompata mrusi,ujue Russia ni nchi ya kibiashara na pia ni mzalishaji,ana viwanda zaid ya elfu 10 ,ana makapuni ya kibiashara mengi sana ulaya na Asia ,ana ushirika mkubwa sana wa kiuzalishaji baina yake na ulaya na Asia ,hivyo vikwazo vya kutotumia dola,VISA,kuondolewa kwenye mfumo wa kibiashara wa dunia ,inter bank systems, kuzuiliwa kwa safar za anga,ukamataj wa Mali na makampuni yote ya Russian yaliyoko ulaya na baadhi ya nchi za Russia ,kiukweli haya ni machache nimetaja ila in long run kama vikwazo hivi vitaendelea wazungu watatafuta njia mbadala ya kuishi bila urusi ,ni wazi in short run ulaya na Asia watapata maumivu ya kiuchumi ila wakitoka mrusi hatakua salama ,hali ni mbaya sana huwez ukawa na kiwanda ukataka kuwekeza Russia kwa sasa maana siyo salama.
When trade between Russia and all other countries is blocked for a year, the impact on the world economy would be −0.7%. By country, the impact on Russia would be −15.8%, China −0.9%, the EU −0.5%, the US −0.1%, and Japan −0.1%
Usijidanganye wanataka kuondoa sanctions this ya Russia, sasa hivi wanakaa vikao vingi mfano leo G20 wanakutana na lengo kubwa ni kujadili jinsi ya kuishi bila mrussi ,hawa jamaa vikwazo walivyomwekea Putin ni vya kikatili ,jaribu kugoogle uone vyote ,hata mwanzon puttin alilaan sana hivi vikwazo ila kiujumla ulaya imeshamhesabu Russia kama adui wao.
China anajua kitakachompata mruss na anakisubir sana hats baadhi ya nchi rafiki zake wanamsubiri kwa hamu maana kitakachotokea mbeleni itabid Russia achutame kwa mchina ,na ukumchutamia mchina unajua kazi yake!!!!.
Mfano German ambao kiulaya ni wanunuz wakubwa wa products za Russia ikiwemo nishati ,wameshajipanga mpaka ifikapo mwaka 2025 watakua wameachana na Russia kabisa,nchi nyingine mwaka huu mwishon wanamtenga kabisa.
Weng tunajidanganya kwamba mrusi ndiye analisha dunia mkuu nenda ukatafute data ,yuko China wa kwanza ,yupo US,zipo EU na baadhi ya mataifa ya Asia ,.
Washenzi sanaBinafsi nawashangaa sana viongozi wa Ulaya wanaendeshwa puta na Merikani ikishirikiana na Uingereza kwa zaidi ya miaka 70 (sabini) wala hilo hawalishitukii wapo wapo tu!!
Miaka ya nyuma Amerika ilisema wazi wazi, kwamba inacho tafuta kwenye bara la Ulaya ni kuondoa influence ya Urusi kwa kutumia mbinu mbali mbali za kuzitisha tisha nchi za Ulaya kuhusu ubaya wa Warusi - ulaghai mtupu. Vile vile Merikani iendelea kusema lengo lake la pili ni kuhakikisha Ujerumani haikui sana kiuchumi ndio maana walikuwa wanapiga vita nishati ya gesi ya Urusi kununuliwa huko Ujerumani walijuwa ni nyenzo muhimu za kuendeshea viwanda vikubwa huko Ujerumani, deep down USA hataki Ujerumani ipige hatua kubwa kiviwanda na kiuchumi, Ufaransa nayo iliwahi kufanyiwa hujuma na USA kwenye Kampuni ya kifaransa (Alstrom) CEO wake kafunguliwa mashtaka ya Uongo na kweli,halafu kalazimishwa kuuza umiliki wa kampuni kwa kampuni ya Merikani, hujuma kama hizo ziliwahi kukumba makampuni ya Kijapan (JVC, Hitachi na Toshiba).
Juzi juzi hapa Amerika ilijaribu kuihujumu kampuni ya kichina (Huawei) wakamshikiria huko Canada binti wa CEO wa kampuni, wakatunga mashitaka ya Ugongo na kweli lakini lengo hasa walitaka kumtumia binti wa Huawei CEO kumu-blackmail CEO mwenyewe ili awauzie kampuni yake na IPs zote za 5G - ndio ma Mafias hawa walivyo, wako tayari kuingia/anzisha vita ili kupora makampuni shindani au rasili mali za wengine kukidhi tamaa zao ovu na hatarishi.
Majinga hayoWell said mkuu, na kikubwa zaidi mataifa mengi yanataka kujiunga na shirika la BRICS - One may ask, what does that tell you?
Kitu kigine muhimu ambacho watu wengi usahau, ni kwamba kuna mataifa mengi Dunia, kwa maneno mengine Dunia sio Bara la Ulaya na Merikani kasikazini tu - ambayo wakazi wake (population) wala hawazidi robo ya Dunia - sielewi kwa nini baadhi ya watu uchukulia kwamba Dunia ni Amerika, yaani wao ndio Alpha na Omega!!!
ingekuwa hayo madhara yanawakumba Urusi,wasingesema hayoWanaona madhara yanawarudia wao