Ni kweli sanctions walizowekewa Russia siyo kwamba ,wazungu walikua hawajui zitawathiri ila impact yake siyo kubwa kama itakayompata mrusi,ujue Russia ni nchi ya kibiashara na pia ni mzalishaji,ana viwanda zaid ya elfu 10 ,ana makapuni ya kibiashara mengi sana ulaya na Asia ,ana ushirika mkubwa sana wa kiuzalishaji baina yake na ulaya na Asia ,hivyo vikwazo vya kutotumia dola,VISA,kuondolewa kwenye mfumo wa kibiashara wa dunia ,inter bank systems, kuzuiliwa kwa safar za anga,ukamataj wa Mali na makampuni yote ya Russian yaliyoko ulaya na baadhi ya nchi za Russia ,kiukweli haya ni machache nimetaja ila in long run kama vikwazo hivi vitaendelea wazungu watatafuta njia mbadala ya kuishi bila urusi ,ni wazi in short run ulaya na Asia watapata maumivu ya kiuchumi ila wakitoka mrusi hatakua salama ,hali ni mbaya sana huwez ukawa na kiwanda ukataka kuwekeza Russia kwa sasa maana siyo salama.
When trade between Russia and all other countries is blocked for a year, the impact on the world economy would be −0.7%. By country, the impact on Russia would be −15.8%, China −0.9%, the EU −0.5%, the US −0.1%, and Japan −0.1%
Usijidanganye wanataka kuondoa sanctions this ya Russia, sasa hivi wanakaa vikao vingi mfano leo G20 wanakutana na lengo kubwa ni kujadili jinsi ya kuishi bila mrussi ,hawa jamaa vikwazo walivyomwekea Putin ni vya kikatili ,jaribu kugoogle uone vyote ,hata mwanzon puttin alilaan sana hivi vikwazo ila kiujumla ulaya imeshamhesabu Russia kama adui wao.
China anajua kitakachompata mruss na anakisubir sana hats baadhi ya nchi rafiki zake wanamsubiri kwa hamu maana kitakachotokea mbeleni itabid Russia achutame kwa mchina ,na ukumchutamia mchina unajua kazi yake!!!!.
Mfano German ambao kiulaya ni wanunuz wakubwa wa products za Russia ikiwemo nishati ,wameshajipanga mpaka ifikapo mwaka 2025 watakua wameachana na Russia kabisa,nchi nyingine mwaka huu mwishon wanamtenga kabisa.
Weng tunajidanganya kwamba mrusi ndiye analisha dunia mkuu nenda ukatafute data ,yuko China wa kwanza ,yupo US,zipo EU na baadhi ya mataifa ya Asia ,.