EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Hahahha sawa hata kwa Shemeji ni kambi ila Uzalendo kwa nchi yangu ni muhimu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilifikiri utabisha, ili ukirudi home jioni nikuone unagusa remote. Huna uzalendo wowote. Ungekuwa nao hata chembe tu mngeshamshinikiza DPP aachane na hii kesi ya kipuuzi ya ugaidi kuiondolea nchi aibu na madhara yake yote.
 
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,

Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Hapingwi Samia lakini anapingwa Rais Samia kwa kivunja sheria na katiba ya Nchi .Kuzuia mikitano ya kisiasa mwambie anavunja katiba. kwa Sababu una cheo usifurahie wenzako kuumizwa huo ni uhuni,pia kumbuka Tanzania sio Mali ya CCM ni Nchi ya Watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama.Mhimu unatakiwa kuwa na upeo mkubwa Sana ,wenye akili kubwa wanataka nchi ipate katiba mpya ili kuja kuiepusha na vulugu zitokanazo na uhalamia kwenye chaguzi lakini wewe kwa Sababu ya cheo chako Hilo hulioni hivo basi hukitakii mema kizazi chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni jamii Frani ya nyoka yenye vichwa viwili ,hawangalii madhara yanayoweza kuwapata Watanzania hasa WA kipato cha chini ,wao ni kubwatuka tuuu.Wanasheria Bora na wabobezi Wapo chadema Sasa wanaogopa nini .kesi IPO Mahakama pambaneni vidume
 
Unajua Siasa vizuri,

Kati ya Mass approach na select approch kipi ni muhimu?
 
Huo u-free state mnaujua wakati mkikemewa kwa wa kuminya haki za binadamu tu?! Wakati mnaomba misaada na mikopo, mnakuwa siyo free state?! #donakantree mkubwa weeee!
 
Nimeishia kusoma hapo uliposema sabaya nae ni kati ya miamba ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…