EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

ww kwa akili yako leo hii tunasherehekea miaka 60 ya uhuru lakini ukongwe wake na maendeleo vinaendana je? nani alaumiwe wewe unadhani?
Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi Tajiri zaidi Africa unajua hili?
 
Hayasomeki kabisa
CCM kilikua chama Cha kuwapigania Wananchi kipindi Cha mwalimu Nyerere tu lakini siku hizi kimekua Cha mahalamia kama wewe,kwenu kuendesha chi mnatumia uongo tu ndo Mana mnapora uchaguzi halafu mnashangilia mmeshinda Sasa kwa akili hiyo kweli mtakua na akili ya kuwaletea Wananchi maendeleo kweli?Kama umeme tu umewashinda kipi Tena mtaweza? Burundi na Rwanda pamoja na vulugu zao za kisiasa Wana umeme .Sasa unakipi Cha kudanganya watu wenye akili.Acha upumbavu wako wa kusema uongo Mshenzi mkubwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mabalozi wa CHADEMA
 
CHADOMO mnashule ya Matusi?
 
Mkifatafata ya wenzenu mtachelewa sana kufanya yenu. Kama mnatupenda sana watanzania mbona hamjaja kuishi na sisi huku mgeta morogoro au kuja kuwaletea chakula watoto wa wote waliomuamini mbwewewe wenu au tobo lisusu na wakafungwa huku watoto wao wanataabika na watoto wa vibaraka wenu wanazidi kunenepa?? Hapa hatoki mtu hadi sheria iamue....mmmbwaaaaaa nyie
 
Free state mnaendesha serikali 80% kwa pesa za mkopo,dada kunywa fanta urudishe sukari uliyopoteza mwilini,bladifaken
 
Nimependa hii Comment crde
 
Hapo siyo CDM nadhani ni masharti ya misaada tunayochukua kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…