EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Free state?!!free state inayo omba omba misaada hat ya kujenga vyoo!!
Hakuna Cha kesi pale,
Watawala wa ccm,wanaogopa mabadiriko yoyote yatakayo wapunguzia ulqji,wizi,na hata kuwatoa Madarakani,kila anaye hatarisha maslahi yao lazima apigwe rungu la kichwa anyamazishwe,Ili tabaka tawala,ndugu zao,marafiki,waendelee kula nchi watakavyo.
Na kwa sasa hv,Mbowe "is the thorn",in there flesh lazima wa mminye asipige kelele,
 
Mbowe ni GAIDI tu,acheni kuweweseka,nino kwa jino.
 
Chadema hawakuanza kuisiliba nchi kidipromasia kabla ya kesi kuanza ila ilipoanza tu kwa michongo inayoonekana kwenye kesi kila mwenye akili timamu anaziba mdomo kwa mshangao
 
Tutasimamia sheria na taratibu tulizojiwekea kwa gharama zote.

Kama MWANACCM SABAYA YUKO JELA MBOWE NI NANI MBELE YA SHERIA?
Wewe kenge usinisababishe ban bure ..hivi kibaka,Jambazi,mjinga yule kama baba yake marehemu umfananishe na Mh FAB???? proven kweli mungu alitupa level of reasonining tofauti
 

Wanaogopa yasiwakute ya Mbowe
 
Mpuuzi wewe kila siku mnaenda kuomba misaada mbona hamsemi kama Tanzania ni nchi huru ijitengemee? acha wazungu watusaidie kunyoosha hawa watawala makatili wasiofaa mbele za MUNGU.
Sikubaliani na hoja yako labda utoe mifano hai.

Kama kuna kiongozi mwanasiasa KATILI nchi hii ni Freeman Mbowe, kwa kauli na matendo yake, kiasi amewaambukiza viongozi wanasiasa wa CHADEMA. Hiki chama kikipata kuongoza nchi hii, hakuna shaka kutakuwa na utawala wa kidikteta.

Ushahidi ni tangu kimeanzishwa kimekuwa kwenye mlengo wa kujali maslahi ya wao viongozi. Dai lao kubwa la Katiba mpya nyuma yake ni Katiba ya kuwawezesha kupata madaraka ya Dola kwa ajili ya agenda zao binafsi.

Mwenye hoja tofauti na hii yangu, atoe japo jambo moja tu la Kitaifa, ambalo Viongozi wa CHADEMA wamefanya tangu kianzishwe ama kwenye Kata (madiwani), Majimbo (Wabunge) au Halmashauri walizoziongoza.
 
CCM imefanya nini tangu 1961?
 
Sorry unaongelea utawala wa sheria Africa? .huku tunaishi kama wanyama kwenye jungle . huku sheria zimewekwa kwa ajili ya watu flani tu nasi vinginevyo. Ndugai alimtandika mtu fimbo kwenye kampen hadi akazimia, ulisikia akikamatwa na polis. Uchagizi wa mwaka Jana uligubikwa na rushwa za wazi kabisa, taasis za kudhibiti hayo zikagwaya kisa wanao fanya hayo ni makada wa ccm. Mifano ni mingi inayo onyesha jinsi watawala na wana ccm wakikanyaga sheria bila kuchukuliwa hatua zozote.

Nani asiyejua jinsi polis wanavyo kesha Usk na mchana kudhofisha vyama vya upinzani hasa kile kinachokuwa na nguvu kwa kutumia kila hila ikiwemo ubambikiaji wa kesi. Kuna mlolongo wa matukio yanayo onyesha hata hiyo kesi nikesi ya mchongo.
Lengo ni kuidhofisha chadema , kwamba watumie mda mwingi kwenye kesi zisizo na mashiko washindwe kujenga chama huku ccm wakipata nafasi ya kupumua na kuimarisha chama chao.

Sheria zinafwata ulaya ambako hata rais anaweza shitakiwa. Afrika huku sheria zinatungwa lakini kajikundi kawatu kana jiwekea uzio hamna kushitakiwa hata wakivunja sheria huku wakibambiakia wengine kesi za uongo.
 
Hivi haiwezekani wachangiaji mada wakachangia bila matusi na name calling?
Watu wastaarabu huwa wanalumbana kwa nguvu za hoja ma sio hoja za nguvu na matusi.
Ukijadili hoja kwa feelings na sio logic na commonsense basi mwisho inakuwa matusi na kudhalilishana.
Tanzania ni yetu wote.Tupo kwenye mtumbwi mmoja pale kwenye changamoto na makosa tuelezane na kukosoana kwa hekima.
Napata tabu kuchangia mada ambazo mwisho wake ni matusi.
Tusiwe kama wapenzi wajinga wa Simba na Yanga.
Nobody is perfect.No society is perfect.Hakuna Nchi ambayo ni Utopia kama kitabu cha mwandishi Sir Thomas More kilivyojaribu kueleza kuhusu society ambayo ni Utopia.
Changamoto zetu ni nyingi tusipoteze muda.
 
Unaongea nadharia sana Mkuu wangu,

Huona jema lolote Africa,

Wewe ni kibaraka aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…