EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Tanzania nchi ya pili Africa kwa Uhuru wa kutoa maoni unajua?
 
Hata pale inaposemwa vibaya lazima uitete
 
Hata pale inaposemwa vibaya lazima uitete
Kama unasemwa vibaya basi wewe ni mbaya ivyo dawa ni kujirekebisha sio kutetewa.

Yaani mtoto ni mwizi na majirani wanakuambia ni mwizi wewe unaona vibaya na unamtetea mtoto!?

Wewe sio mzazi halisi.
 
Kama unasemwa vibaya basi wewe ni mbaya ivyo dawa ni kujirekebisha sio kutetewa.

Yaani mtoto ni mwizi na majirani wanakuambia ni mwizi wewe unaona vibaya na unamtetea mtoto!?

Wewe sio mzazi halisi.
Unataka kusema Lissu ni Mzalendo?
 
Sikatai. Kuna watu wana uhuru wa kutoa maoni, kama wewe. Jaribu kuwaambia Chadema!
Kwa Tanzania kuwa nchi ya pili kwa uhuru wa maoni Afrika sio hoja maana unaweza kutoa maoni ya ngono tu na mambo mengine ya kawaida sio uhuru wa kuikosoa serikali.

Kuongoza ktk darasa la wajinga hakukuondolei ujinga
 
Daaah wewe kiboko
 
Live

2 December 2021

EU Parliament on Mbowe's terrorism charges

Article 8 focusing on Tanzania commitment to work together with the European Union to address various issues that were previously raised and brought great concern to the international community. Political change in Tanzania to bring peace, security and stability, the EU has engaged Tanzania into dialogues that put priority areas like good governance that include promotion of human rights and democracy....

Source : Committee on Foreign Affairs

Recorded on
01 December 2021, 13:45 - 15:00

Committee on Foreign Affairs​

c.c Moderator Jamiiforums ibandishe juu

Previously in year 2020

19 Nov 2020

Magufuli has dismantled Tanzanian democracy - European MPs

Members of European Parliament have criticised Tanzanian government under President John Magufuli for dismantling the little democratic gains the country has had.

CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Chama kinachokufa kinakatazwa hata kufanya vikao vya ndani?
Waliokuwa wanachama wake waliingia kwa nguvu bungeni . Wale 19?
Hahaha kinatoa wakuu wa wilaya, mikoa, mawazir, manaibu nk
 
Chama kinachokufa kinakatazwa hata kufanya vikao vya ndani?
Waliokuwa wanachama wake waliingia kwa nguvu bungeni . Wale 19?
Hahaha kinatoa wakuu wa wilaya, mikoa, mawazir, manaibu nk
Kikao gani cha ndani mmekatazwa
 
Hujui? Hujui kwamba kuna OCD huko kasema kuna tishio la ugaidi? Huwezi kujua kwakuwa ccm inafanya itakavyo.
Ila mungu fundi sana
OCD mmoja katika Wilaya 139 anaweza kujustfy hiyo hoja yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…