EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Tulipokuwa tunaishawishi dunia iwawekee Afrika kusini vikwazo vya kiuchumi, hatukujua kuwa tunataka wananchi wa nchi ile waishi kwa taabu? Ni hivi tu hizi jumuiya hazichukui hatua vizuri na kwa wakati, ilitakiwa wachukue hatua stahiki, huyu mkoloni mweusi lazima angeng'ooka mapema sana.
u Uzalendo ni kuisiliba nchi yako nje?

Uzalendo ni kutaka tukose misaada na hali yetu unaijua,

Hebu jaribu kufikiria vizuri,
 
Kama Mahakama ilitenda haki kwa Sabaya naamini hata kwa Mbowe itatenda tu
 
Free state kutesa watu?
 
Ni aibu nchi yetu kuendekeza kesi hii ya kubumba kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Acquilina.
Ukweli huenda polepole kwa upole. Lakini hufika kwa uhakika. AMEN
 
Hakuna mahakama, bali kuna genge la ccm ndani ya mahakama lililoko maalum kwa kukomoa wapinzani. Wote tunaona kinachoendelea mahakamani, watu wasio na hatia wanasota gerezani, huku polisi waliowabambikia kesi na kuwatesa, wakiponda raha kwa pesa za rushwa wanazopora raia wema.
u umeandika vizuri ila sio sahihi,

Hebu tuiache Mahakama ifanye kazi yake,
 

Tanzania ni free state kweli hakuna wakupinga, ila tuambie hao watuhumiwa watatu waliofungwa tayari kwenye hii case aliyewataja bitozo wako kwenye magereza gani?

Unatuletea story za abunuasi tu

[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Tatizo lenu mnafikri kila anayepinga ujinga wenu ni mpinzani
 
Nilugha tu,

Mfungwa mahabusu,
Mfungwa wa hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…