EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Vipi nawewe unajifanya kututetea?
 
Hivi vijana wa CCM huwa mna makamasi kichwani badala ya ubongo?

Unahitaji PhD kujua kuwa Tanzania ndani ya miaka 60 ya uhuru chini ya uongozi wa CCM imeshindwa kuwa huru ndiyo maana nchi inategemea misaada kutoka kwa mabeberu ili iweze kujiendesha?

Kwa hiyo unahitaji kwenda chuo kikuu ili ukajifunze kuwa Tanzania siyo free state na ndiyo maana haiwezi kujiendesha yenyewe bila misaada ya wale mnaowaita kuwa ni mabeberu?
 
Waliompiga Lissu risasi wameshakamatwa?
 
Unaweza kuthibitisha hili chief?
 
Usijitoe ufahamu wewe nyumbu,kila leo mnatembeza bakuli kwao mkiambiwa ukweli mnawaita mabeberu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,

Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Sisi tunajua kesi ipo mahakamani na bado mahakama haijathibitisha kuwa mbowe alifanya ugaidi, wewe kwenye bandiko lako unasema mbowe amefanya ugaidi. Je unaweza kututhibitishia hapa bila kuacha shaka ni ugaidi upi huo mbowe aliufanya?
 
Yule auwaye kwa upanga, naye atajwawa kwa upanga. Kwa kadiri mtu anavyowatendea wengine uovu, kuonea, kunyanyasa, kupindisha haki, naye itafika muda wake wa kutendewa hivyo hivyo.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Wacha tuiache Mahakama ifanye kazi yake
Mahakama hii ambayo jaji mkuu anaagiza maamuzi yafanyike kwa kuangalia upepo wa nchi?? Jaji anayesikiliza kesi anapewa uteuzi kuwa jaji kiongozi na mteule wake anakuwa ni mtu aliyechukua upande kuhusu kesi tayari?
 
Wewe unaonekana umesahau ubongo wako upo kwenye shelf ipi walipoupakua wakati unaingia ccm. Kama wewe umefuatilia hiyo kesi huwezi kuandika uzi mrefu kama huu wenye hoja za kisengerema hivo. Mnabambikia watu kesi za ajabu, watu wakiongea mnakurupuka kuleta hoja zisizo na mashiko hapa. Mnalilawiti taifa halafu unasema sovereignty? Sovereignty ya nyoko....
 
Tutasimamia sheria na taratibu tulizojiwekea kwa gharama zote,

Kama MWANACCM SABAYA YUKO JELA MBOWE NI NANI MBELE YA SHERIA?
Haha! wachumia tumbo buana! Unaambiwa tungeishi kwa kusikilizana wenyewe kwa wenyewe tungefika hapa? Kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako huyo Mbowe ana hatia gani?

Kwa hulka na utulivu wetu watanzania hili taifa ni jepesi sana kuongoza. Tulipaswa kuwa mbali sana tungekua na chama makini.

Nyinyi CCM ndio waharibufu wa hili taifa ndio maana tunayaoona yanayoendelea. Mngeweka maslahi ya watu mbele wala tusingefika hapa.

Huna uzalendo wowote na unafanya yote kwa maslahi ya tumbo lako na magenge ya chama chako.
 
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,

Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??

Wewe sio kiwakilishi cha kila mtanzania na usitumie tena “sisi” katika tungo zako. Angalau huniwalilishi mimi. Mimi ninapinga EU kutaka kuingilia mambo yetu, lakini pia sio sahihi kuonea watu. Na kama wewe utatumika kunyamazisha watu wasipinge uonevu, basi nitakuwa upande wa yule anayeweza kupaza sauti!!

Civic space imepungua katika nchi hii.
 
CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Ccm ndiyo ina uchungu? Miaka 60 bado nchi changa. Mnatembeza mabakuli kwa hao hao mabeberu halafu mnajifanya mna uchungu na nchi? Mmeibemenda nchi halafu mnaleta Kiswahili murefuuu?
 
CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Chadema katu haiwezi kufa kibudu bro, mwambie hangaya aruhusu mikutano ndio utajua imekufa au ipo hai alishindwa yule baradhuri watakuwa hawa wengine??endeleeni kuiogopa katiba mpya kama ukoma ikipatikana mmeisha.
 
Mbowe sio Malaika tuipe muda mahakama italeta ukweli wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…