EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Chadema katu haiwezi kufa kibudu bro, mwambie hangaya aruhusu mikutano ndio utajua imekufa au ipo hai alishindwa yule baradhuri watakuwa hawa wengine??endeleeni kuiogopa katiba mpya kama ukoma ikipatikana mmeisha.
Mbona CHADEMA Digital inafeli kuna nini?
 
Kipi kimepungua kwa dhati ya moyo wako
 
CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,

Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Chama limekufa kibudu wakati hampati hata lepe la usingizi, ndio kifo gani? Mmemdanganya mama anaropoka Mbowe gaidi wakati hamjui madhara yake. Na kuthibitisha mmeshindwa na mashahidi, mawakili na jaji wenu wa michongo.
 
Nadhani hata wewe ni mpumbafu kidogo, Leo Lengai Ole Sabaya kada wa CCM yuko wapi?
Kila mhimili upo kiutashi wa mtu,ndio maana Sabaya kahukumiwa.
Ni utashi wa awamu ya 5 ilimuamuru afanye.
Ni utashi wa awamu ya 6 afunguliwe mashitaka.Same Government.
Magufuli angekuwa hai Utashi wake ungemfanya Sabaya RC wa Dar.
 
Chama limekufa kibudu wakati hampati hata lepe la usingizi, ndio kifo gani? Mmemdanganya mama anaropoka Mbowe gaidi wakati hamjui madhara yake. Na kuthibitisha mmeshindwa na mashahidi, mawakili na jaji wenu wa michongo.
Hebu tuambie kuhusu CHADEMA Digital Mkuu, Kipi kimeikwamisha?
 
Kila mhimili upo kiutashi wa mtu,ndio maana Sabaya kahukumiwa.
Ni utashi wa awamu ya 5 ilimuamuru afanye.
Ni utashi wa awamu ya 6 afunguliwe mashitaka.Same Government.
Magufuli angekuwa hai Utashi wake ungemfanya Sabaya RC wa Dar.
Haya maneno yako yanaushahidi wowote mkuu au nadharia tu?
 
We ni mpumbavu, mnaumiza watu kwa kujua hakuna cha kuwafanya, huyo mama yenu anaharibu nchi zaidi,anaendeleza alipoishia dikteta Magufuli.

Mbeya na Songwe kuna wanachadema zaidi ya 60 wapo magereza kwa kesi za mauaji toka siku ya uchaguzi,na mtu au watu waliowaua hawajulikani.

Mnadhani nchi yenu hii mbwa nyie.

Kuliko kuendelea kuishi kama watumwa katika nchi yeru,urithi wetu na ardhi yetu ni BORA TUKOSE WOTE.

TUMEANDIKA BARUA ZAIDI YA MARA MBILI KUOMBA KUKUTANA NA SAMIA KUMALIZA VUGUVUGU LA MATESO,MNAISHIA KUTUPA KESI YA UGAIDI NA KUTUTESA .

F..UCK YOU,MBWA WEWE.
 
Mpuuzi wewe vitu vinapanda wewe hata hujui sababu unaishi kwa dada ako
Unazungumzia vitu gani anavyovijua vimepanda bei wakati anakaa kwa dada yake? Ni shemeji yangu tunaye hapa nyumbani limenenepeana tu linajifanya litiifu hapa home. Halafu anakuja humu kujifanya critical thinker.
 
Hivi serikali ya tanzania kwenda kutembeza bakuli huko EU, haijui kuwa yenyewe ni free state inayotakiwa kujitegemea?
 
Unazungumzia vitu gani anavyovijua vimepanda bei wakati anakaa kwa dada yake? Ni shemeji yangu tunaye hapa nyumbani limenenepeana tu linajifanya litiifu hapa home. Halafu anakuja humu kujifanya critical thinker.
Tetetetete
 
Haohao unaosema Tanzania ni Free state wasikuingilie juzi wanekupa mkopo wa kujenga vyumba vya madarasa .Kama Haupo vizuri kiuchumi hauwezi kusema upo huru huko ni kunidanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah CHADOMO ni janga la Taifa, Ndio maana wanachama wenu wote Wamewakimbi
 
EU haina ubavu kwa kulazimisha mahakama za Tanzania ziamue wanavyotaka wao.Wameshindwa kwa mwanachama wao tokea 2004 Hungary.
Kesi ipo mahakamani,mahakama iamue kama Mwenyekiti Mbowe ana hatia au ni innocent. Kama watu wanajua hatima ya hii kesi basi kusingekuwa na haja ya upande wa utetezi.
Kujipa matumaini kwamba EU kwa kupitia mjumbe mmoja kutoa maoni yake ni kuwa naive.Wametoa matamko kuhusu Rwanda na Belarus kila mara na hakuna kinachobadilika.
Hungary wana violate human rights kila siku na ni mwanachama wa EU.Na hakuna linalofanyika.
Hii kesi itafikia mwisho.
 
Unazungumzia vitu gani anavyovijua vimepanda bei wakati anakaa kwa dada yake? Ni shemeji yangu tunaye hapa nyumbani limenenepeana tu linajifanya litiifu hapa home. Halafu anakuja humu kujifanya critical thinker.
Hahahha sawa hata kwa Shemeji ni kambi ila Uzalendo kwa nchi yangu ni muhimu sana
 
Umeandika vizuri sana Mwanadiplomasia
 
wapo wanaishi uko baada ya kutishiwa vifo na watawala wenu
 
Mpuuzi wewe kila siku mnaenda kuomba misaada mbona hamsemi kama Tanzania ni nchi huru ijitengemee? acha wazungu watusaidie kunyoosha hawa watawala makatili wasiofaa mbele za MUNGU.
CHADOMO MKO JUU SANA KWA MATUSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…