Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

Miaka 55 ya uhuru bado mnategemea kutembeza bakuli alafu bado mnakuwa jeuri?badilikeni sasa muendelee kusaidiwa
Ume elewa lakini kwanza nilichokiandika au ndio tabia za kawaida za mtanzania za kukurupuka na majibu...
 
A

Acha kudanganya watu mitandaoni

KfW mradi huo umefika mwisho na walituma consultant wao kufanya assessment kwa miradi yote walisupport hapa Tanzania Lengo la kufanya hivyo ni ili kuandaa vipaombele vya next funding ya KfW ambayo inatarajiwa kuanzia June 2019

Kijana acha uongo narudia kijana acha uongo KfW wanarudi tena with new projects in 2018

Unajua n kwannn mataifa yaliyoendelea yaanendelea na yataendelea kufadhili miradi mbalimbali Tanzania?

Dogo usirudie kudanganya tena
Ngapulila,

Kama wewe ndiye unasema ukweli twambie ni kwa nini KfW walisimamisha kufadhili mradi wa Selous kule Matambwe?
 
Ebu tutajie mradi wowote mnao tumia ela zenu wenyewe bila kutembeza bakuli?
Damu Salama sasa hivi ni wetu wenyewe.
Norway na sweden waliuanzisha, wakatrain watanzania, wakaufadhili mradi ulipoanza kwa miaka 10, kisha wakatuachia wenyewe. Malaria program ilianzishwa na Japan kabla JICA waliufadhili na mafunzo kisha wakatuachia, tuliiba sana pesa za mradi tukauua, Tanzania AIDS PROJECT, ulianzishwa wakatutrain wakaondoka wakatuachia pesa tukaiba ukafa, wakarudi na TACAID sijui uko wapi.
Tutajifunza iko siku watatuacja kabisa tutatia akili tu. Hivyo sioni tatizo wakiondoka.
 
Nashukuru sana kwa kuwa umekuwa mkweli kabisa kwamba hatujawahi kuanzisha mradi wetu na kuusimamia wenyewe kifedha na kitaaluma
Damu Salama sasa hivi ni wetu wenyewe.
Norway na sweden waliuanzisha, wakatrain watanzania, wakaufadhili mradi ulipoanza kwa miaka 10, kisha wakatuachia wenyewe. Malaria program ilianzishwa na Japan kabla JICA waliufadhili na mafunzo kisha wakatuachia, tiliiba sana pesa za mradi tukauua, Tanzania AIDS PROJECT, ulianzishwa wakatytain wakaondoka wakatuachia pesa tukaiba ukafa, wakarudi na TACAID sijui uko wapi.
Tutajifunza iko siku watatuacja kabisa tutatia akili tu. Hivyo sioni tatizo wakiondoka.
 
Asante sana mkuu maana anajifanya yeye ndiye CEO wa huo mradi
Ngapulila,

Kama wewe ndiye unasema ukweli twambie ni kwa nini KfW walisimamisha kufadhili mradi wa Selous kule Matambwe?
 
Nashukuru sana kwa kuwa umekuwa mkweli kabisa kwamba hatujawahi kuanzisha mradi wetu na kuusimamia wenyewe kifedha na kitaaluma
Sisi hatuanzishi, tunaanzishiwa kisha tunapewa mafunzo na pesa wakiondoka tunagawana rasilimali na pesa tunaua mradi tunasubiri waje tena waanzishe mwingine. Hatujawahi kushindwa kuharibu, lakini iki siku wakiondoka jumla tutatia akili. Tutaanzisha na kuitunza.
 
Waondoke tu, kodi inatosha. Mtu aje kwako halafu akupe masharti ya kubweka kama jogoo ndo akusaidie, hapana kwa kweli
Nadharia na uhalisia haiviendani,kama Nchi tuna haki yakusea sisi ni taifa linaohitaji kuheshimiwa hilo sagihi kabisa.
Tatizo uchumi wetu na mapato yetu yanaweza kuiendesha awriai kufika malengo ya kuendesha miango ya maenseleo kwa kdo zetu na maato mengine ya ndani?
Jibu haviwezi maana bajeti ya maendelwo takribani trion 12 ni asilimia 33 za mapato ya ndani kwa mwaka jana zilipelekwa kugharimikia miradi ya maendeleo.
Bajeti ya maendeo hujangiwa kwa asiimia 60 na wahisani,leo uaema maneni ya kujivuna bila uhalisia ni kuumiza wananchi,mfano mzuri bajeti ya wizara ya afya miradi ya madawa,mama na mtto afya ya msingi magonjwa kama ukimwi kfua kikuu,matende na abusha hugharimikiwa na wahisani na hasa wamarekai kuwakataa unataka ndugu zetu wafe?
 
Lile fuko la wajerumani lililokuwa linasaidia huduma za mama na mtoto kwenye idara ya afya hapa nchini hasa mawilayani wametangaza kusitisha huduma hiyo 31.12.2018.

Hilo ni pigo kwa nchi yetu.

Wenye kuwadharau EU sasa ndiyo mjiandae.
Usiwe na wasiwasi juu ya Tanzania uwe na wasiwasi na wanasiasa wako unaowalilia Tanzania itaendelea vizuri tu. Hiyo misaada haina usaidizi wowote kwa wananchi wa Tanzania zaidi ya kuwatajirisha wachache.
 
Unaweza kukuta hata mwenyewe ana busha tayari
Nadharia na uhalisia haiviendani,kama Nchi tuna haki yakusea sisi ni taifa linaohitaji kuheshimiwa hilo sagihi kabisa.
Tatizo uchumi wetu na mapato yetu yanaweza kuiendesha awriai kufika malengo ya kuendesha miango ya maenseleo kwa kdo zetu na maato mengine ya ndani?
Jibu haviwezi maana bajeti ya maendelwo takribani trion 12 ni asilimia 33 za mapato ya ndani kwa mwaka jana zilipelekwa kugharimikia miradi ya maendeleo.
Bajeti ya maendeo hujangiwa kwa asiimia 60 na wahisani,leo uaema maneni ya kujivuna bila uhalisia ni kuumiza wananchi,mfano mzuri bajeti ya wizara ya afya miradi ya madawa,mama na mtto afya ya msingi magonjwa kama ukimwi kfua kikuu,matende na abusha hugharimikiwa na wahisani na hasa wamarekai kuwakataa unataka ndugu zetu wafe?
 
Huo Mkwara wao tuliuiona mwaka 2016baada ya uchaguzi siyo wa jana. Hawana jinsi watarudi tu Tanzania siyo Zimbabwe kukame Tanzani panaitwa mtakuja. Watashindwa kama walivyoshindwa na serikali ya Angola
 
Mabeberu!
Naam mabeberu a.k.a wadau wa maendeleo. Kwa hili la madawa ya ukimwi ni wadau wa maendeleo. Ila kwenye ushoga na haki nyingine za binadamu ni mabeberu tu.
 
Back
Top Bottom