EU wasiishie hapo hapo. Waweke vikwazo vya kisiasa kwa hawa watawala wa Tanzania

EU wasiishie hapo hapo. Waweke vikwazo vya kisiasa kwa hawa watawala wa Tanzania

I think Hilo laja , kama wapo seriously kweli wanapaswa kufanya hivyo , Yale maamuzi waliyo yachukua Bado haya jitoshelezi kabisa wakiwafukuza mabalozi ndio itakuwa pigo kubwa zaidi maana hakuna tutakacho uza Wala kununua Toka kwao nchi ita paralyzed kabisa ,

Wananchi watazidi kuwa na hasira na itakuwa threat Kwa mamlaka sijui wataweza vipi kutawala nchi Kwa style hiyo dahh kazi kweli kweli
.Tumefika kubaya Sana kama taifa
 
Tuombe hayo yasitokee wajuba, uchumi utaharibika na hali za wananchi zitakuwa mbaya.
 
Tuombe hayo yasitokee wajuba, uchumi utaharibika na hali za wananchi zitakuwa mbaya.
Sasa hapo ndo itakuwa hata hawa mamluki wanojiita walinda wananchi wote tutaongea lugha moja
 
Mashariki ndiyo limekuwa kimbilio la watawala "hoyahoya",wachina na waarabu ni kama hawajui kitu kuhusu kilichotokea,tutegemee mikataba ya kimangungo kutoka China baada ya EU kupiga spana.
 
Mi nachoomba Watawala wageuze upande wa pili wakae Meza moja ya maridhiano maana Wazungu wakishaanza huwa hawashindwi kitu kwenye jambo lolote lile na Nchi zetu masikini zinategemea sana maendeleo ingawaje kwa kujivutavuta kutoka kwao maana bila dollar hakuna kitu tutafanya Tanzania hata matibabu itakua shida sana bei ya mafuta pia itaongezeka maana mzunguko wa kuipata dollar ili tununue mafuta nje umesimama...
Nchi itakua na madeni ya bank za ndani mengi yasiolipika kwa wakati..
 
Dawa ya hao magaidi wanaotuua raia tusio na hata siraha ni D9 na vikwazo vya kiuchumi we need economical sanctions
 
Back
Top Bottom