Eucemism na Muungajo wa Makanisa

Eucemism na Muungajo wa Makanisa

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,467
Reaction score
3,687
Baraza la Umoja wa Makanisa Ulimwenguni (World Council of Churches – WCC) liliundwa kikatiba kule Amsterdam, Uholanzi, August 23, 1948. Limejengwa na matawi ya jumuiya mbalimbali zinazotawaliwa na WCC. Lengo la WCC ni kuunganisha dini zote za ulimwengu katika fungate la kiekumene – au Kanisa moja la ulimwengu. Lakini ili kuunganisha dini zote zilizoko ulimwenguni pamoja, mafundisho ya pekee yanayoshikiliwa na makundi haya ya kidini [kama utambulisho wao] lazima yatupiliwe mbali, na mlengo uwe zaidi katika jukwaa la mafundisho ya imani yanayofanana kuwa msingi wa lazima.

Tunajua kwamba ulimwengu wote hatimaye tutakuwa chini ya dini na serikali moja kama anavyosema Padre Malachi Martin wa kanisa Katoliki katika kitabu chake kiitwacho “The Keys of this blood”,
anasema “He is as determined to be world ruler as was Constatine in his day.” p. 49.

Akimaanisha kwamba Papa wa kanisa Katoliki atakuwa kiongozi wa dunia nzima kama
alivyokuwa Constatine wakati wake. Hili pia linathibitishwa na Mungu kama
tunavyosoma kwamba “….akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na
taifa.” Ufunuo 13:7.

Wale watakaokataa kutawaliwa na mnyama huyo watakabiliwa na
kifo maana tayari sheria imetungwa katika mahaka ya kimataifa inayoitwa “The Rome
statute of International Criminal Court.”

Hebu tumsikilize mkuu wa shirika la Jesuits anavyosema:
“See, sir, from this Chamber, I govern, not only to Paris, but to China; not only to China,
but to all the world, without anyone knowing how i do it.” (Tamburini, General of the
Jesuits.)

Yeye anasema kwamba “kutoka ndani ya ofisi hii, ninatawala, sio tu hata Paris, bali
hadi China, sio tu hadi China bali katika ulimwengu wote, bila mtu yeyote kujua jinsi
ninavyofanya.”

HII NI VITA YA KIROHO SIO KIMWILI , HIVO MNASUBIRI MAMBO YAENDE WAZIWAZI, MTAJIKUTA MMESHAPOKEA ALAMA YA MNYAMA

Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo zikiwa zinafanya kazi kwa mwongozo wa Illuminati. Katika taasisi za kidini tunakuta Baraza la Umoja wa makanisa ulimwenguni (World Council of Churches) ambalo lilianzishwa na Illuminati kwa makusudi ya kuunganisha dini zote za Kikristo na kutengeneza “Mnara wa Babeli” wa kiroho.

Tayari kuna makanisa mengi ambayo yamejiunga kwenye umoja huo. Wengi hawajui kama umoja huo uko chini ya chama cha siri cha Illuminati ambacho kina siri kubwa sana katika kutawala dini na dunia kwa ujumla.

Ukitaka kujua kama kanisa lako ni mwanachama wa Baraza hilo unaweza kutembelea mtandao wa Baraza hilo kwenye World Council of Churches

Ieleweke kwamba WCC ina vitengo kama Christian World Communion, Global Christian Forum, nk. ambapo kanisa linaweza lisiwe member wa WCC moja kwa moja ila likawa member wa vitengo vilivyo chini ya WCC.

Ekumeni ni mkakati wa Román Catholic kuyarejesha Madhehebu yote ya Kikristo yaliyojitenga kutoka kwake kipindi cha Matengenezo.
Alama ya ekumeni ni boti lenye msalaba kati ya bahari.
1645495561995.png

Kwa hiyo dhehebu lolote ambalo Nembo yake Ina msalaba, Ina maana limekubali kurudi Katoliki.

Msingi wake ni imani inayowaunganisha katika Yesu Kristo na kwa njia yake katika #Utatu mtakatifu, yaani Mungu pekee aliye Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Mfano: dhehebu la SDA zamani lilikuwa haliamini fundisho la Utatu, na hata Nembo yake ilikuwa ni ya malaika Watatu, lakini baada ya miaka ya 1981 kupitisha rasmi Fundisho la Utatu, Basi hata Nembo ilibidi ibadilishwe na ili iwe na alama ya Msalaba ambao ni alama ya Nembo ya EKUMENE.

Katika Kitabu kinachoitwa EKUMENE wanakiri kwamba ipo siku Kanisa moja litasimamishwa Uk 63, wanasema:
"Siku moja itakapowadia, ambapo Makanisa hayo yataungana katika umoja wa imani na uongozi, ndipo Baraza la Makanisa la Ulimwengu litaweza kutoweka. Lengo lake ni kwamba Kanisa Moja Takatifu sharti litokee."

Sasa ili kukamilisha Umoja huu ndipo mwaka 1975, ilipitishwa rasmi kwamba fundisho la Utatu ndio liwe Fundisho la Imani linaloyaunganisha makanisa yote.
EKUMENE Uk 63 wanasema"Mkutano wa Wote katika mji wa Nairobi( mwaka 1975) uliyahimiza tena Makanisa kuutafuta umoja wa imani ambao ungejidhihirisha katika ekaristi moja na kanuni ya Imani moja. Hatimaye, Baraza la Makanisa lilikamilisha msingi ule wa imani tuliokwisha kuutaja, kwa kuliingiza neno moja linalohusu #Utatu_Mtakatifu. (Mwisho wa kunukuu)

Kwa hiyo dhehebu lolote linaloamini fundisho la Utatu Ina maana limekubali kurudi Katoliki kupitia mkakati wa EKUMENE.

Na ndio maana Utatu ni Fundisho linalokubalika na karibu Madhehebu yote ya Kikristo, na hata mtu akionekana anapinga Fundisho la Utatu Basi Waumini wa Madhehebu karibu yote ya Kikristo huungana na kuanza kutetea.

Ulokole si uprotestanti bali ndio umeua uprotestanti, Uprotestant si jina tu fulani la kidini bali ni movement ambayo inawaleta watu katika Ukristo wa kibiblia ambao unamfanya mtu kumwabudu Mungu kwa uhuru (Biblia na Kristo tu). Ndio maana kuna kitu kinaitwa "counter reformation" ni harakati iliyoanzishwa na shirika la Jesuit chini ya Papa Paul mnamo 1540 ili kuua uprotestanti. Ndio maana leo unaona uprotestanti hauna madhara tena dhidi ya Roma, zaidi wameipigia magoti Roma na kutaka umoja (kwamba wanarudi nyumbani) naam kumwabudu Mungu kinyume cha dhamiri yao.

Pichani ni mwaka 2014 wakati balozi wa papa Tony Palmer) ambaye ni Muanglikana alivyowakokota waprotestant wa Marekani ambao wanawakilisha 70% ya waprotestant duniani hadi Vatican na kusema Uprotestant umekwisha na kufungua mlango wa maridhiano. Ni Uprotestant ndio umebadilika na si Roma, maana Roma haibadiliki. Kuungana na upapa ni kuuza uhuru wako ambao mababa wa kiprotestant waliupigania hadi kufa.
1645495449783.png

I am the son of a great Protestant (Martin Luther), I will not bow to the papacy, God help me.

1645495990193.png

Abu Dhabi building a synagogue, mosque and church in one place, Abrahamic Family House​

Dunia haijaanza kutawaliwa leo..kimsingi kila siku madhehebu yanazaliwa mapya wala hayaungani sijaona hoja yako hapo.

Pia hilo kanisa moja ulimwengu mzima kwamba wabudha..waislamu na dini nyingine zitakua chink ya utatu..how can they convince them to bow under one umbrella.

#MaendeleoHayanaChama
 
1645500305119.png

Pope Francis And Sheik Ahmad El-Tayeb, Grand Imam Of Egypt's Al-Azhar Mosque And University, Sign Documents During An Interreligious Meeting At The Founder's Memorial In Abu Dhabi, United Arab Emirates

One World Religion Headquarters To Open 2022​

1645500405215.png

Tangazo la Abrahamic Family House kwenye Kisiwa cha Saadiyat huko Abu Dhabi, linafuatia ziara ya Papa Francis katika UAE mwezi Februari, na ya kwanza katika Peninsula ya Arabia. Katika safari hiyo, papa alitia saini tamko la pamoja na imamu mkuu wa al-Azhar, Dk. Ahmed el-Tayeb, lililotaka kuwepo kwa uvumilivu wa kidini na mazungumzo.

Baraza la madhehebu ya dini mbalimbali la kusimamia miradi na kuendeleza uvumilivu liliundwa kutokana na tamko hilo, .
 
Pia hilo kanisa moja ulimwengu mzima kwamba wabudha..waislamu na dini nyingine zitakua chink ya utatu..how can they convince them to bow under one umbrella.

1645501680104.png

1645501790772.png

1645501905530.png

ULE UTABIRI WA NABII ELLEN GOULD WHITE (HARMON) KUHUSU MUUNGANO WA MAKANISA YA JUMAPILI UMEANZA KUTIMIA:
Ellen alitabiri kuwa, kuna wakati utafika ambapo Makanisa yote yataungana na Mama yao,
Kanisa Katoliki, na kisha Muungano huo wa makanisa ya jumapili utaungana na Serikali, na hapo
ndipo UHURU WA DINI UTAPIGWA MARUFUKU,

Je, Roma itabadilika au Uprotestanti ndio utakaobadilika ili kufanya kuunganika tena kuwezekane?

a. "Muungano huo, kwa hali yo yote, hautafanyika kutokana na badiliko katika Ukatoliki; kwa maana Roma haibadiliki kamwe. Inadai kwamba haiwezi kukosea. Ni Uprotestanti, basi, utakaobadilika. Kupokea mawazo mapana yaliyo huru kwa upande wake [Uprotestanti] kutauleta mahali ambapo utaushika kwa nguvu mkono wa Ukatoliki. 'Biblia, Biblia, ndiyo msingi wa imani yetu,' kilikuwa ndicho kilio cha Waprotestanti katika siku zile za Luther, wakati Wakatoliki walipopaza sauti zao, wakisema, 'Mababa, Desturi, Mapokeo.' Siku hizi Waprotestanti wanaona ni vigumu kuyathibitisha mafundisho yao kutoka katika Biblia, hata hivyo, hawana ujasiri wa kimaadili kuweza kuipokea kweli ambayo inaambatana na msalaba; kwa hiyo, kwa kasi wanaufuata msimamo wa Ukatoliki.... Naam, Waprotestanti wa karne ya kumi na tisa wanakaribia kwa kasi kwa Wakatoliki katika kukosa uaminifu wao kuhusu Maandiko." RH, 6-1-1886, uk.338.

b. "Waprotestanti wa Marekani watakuwa mstari wa mbele katika kuinyosha mikono yao juu ya ghuba ili kuushika mkono ule wa Imani ya Mizimu; kisha watainyosha juu ya shimo kubwa lenye kilindi kirefu [bahari] kushikana mikono na Mamlaka ile ya Roma; hapo ndipo, chini ya uongozi wa muungano huo wa utatu [Uprotestanti, Umizimu, na Ukatoliki], nchi hii [ya Marekani] itafuata katika nyayo za Roma kwa kuikanyaga chini ya miguu yake haki ya mtu ya kuamini kama dhamiri yake inavyotaka." GC 588.

c. "Uprotestanti utakapounyosha mkono wake ng'ambo ya ghuba kuushika mkono wa Mamlaka ya Roma, utakapounyosha juu ya shimo kubwa lenye kilindi kirefu kushikana mikono na Imani ya Mizimu [toka Mashariki ya Mbali - India, China, n.k.], hapo ndipo nchi yetu [Marekani], chini ya uongozi wa muungano huo wa utatu, itakapokuwa imeikataa kila kanuni ya Katiba yake kama Serikali ya Kiprotestanti na ya Jamhuri, na kuiweka sheria inayotangaza uongo na madanganyo ya upapa, ndipo sisi tutaweza kujua ya kwamba wakati umewadia kwa utendaji wa miujiza ya ajabu ya Shetani na ya kwamba mwisho u karibu." 5T 451.

d. "Uprotestanti utaipa mkono wa ushirika Mamlaka ile ya Roma. Ndipo itapitishwa sheria dhidi ya Sabato ya Uumbaji wa Mungu, kisha ndipo Mungu naye atafanya 'kazi yake ya ajabu' katika nchi [ulimwengu]." 7BC 910.
 
View attachment 2127959
Pope Francis And Sheik Ahmad El-Tayeb, Grand Imam Of Egypt's Al-Azhar Mosque And University, Sign Documents During An Interreligious Meeting At The Founder's Memorial In Abu Dhabi, United Arab Emirates

One World Religion Headquarters To Open 2022​

View attachment 2127960

Tangazo la Abrahamic Family House kwenye Kisiwa cha Saadiyat huko Abu Dhabi, linafuatia ziara ya Papa Francis katika UAE mwezi Februari, na ya kwanza katika Peninsula ya Arabia. Katika safari hiyo, papa alitia saini tamko la pamoja na imamu mkuu wa al-Azhar, Dk. Ahmed el-Tayeb, lililotaka kuwepo kwa uvumilivu wa kidini na mazungumzo.

Baraza la madhehebu ya dini mbalimbali la kusimamia miradi na kuendeleza uvumilivu liliundwa kutokana na tamko hilo, .
Kwahiyo kuwa na uvumilivu wa kidini ni kosa..ulitaka watu wasiwe na uvumilivu wa kidini baina yao ndio ufurahie..bado sijaona mantiki hapo kama lengo lilikua kutia saini kuhusu uvumilivu wa kidini let them do it even a thousand times na kila dini duniani.

Ili kuleta amani na umoja kama wanadamu..

Ni wazi kwamba uhusiano mwema ni jambo jema sana tena la kuhitajiwa na kila mmoja wetu hasa walw tunaopenda kuona ustawi wa kazi ya Injili ukiwa katika namna bora na ya juu kabisa kiutendaji. Ni vema sana kuwa na umoja kwani utarahisisha sana kazi ya Injili.
Moja kati ya vitu ambavyo ni muhimu kuelewa ni hili la kuwapo muungano ambao kwa namna ya juu ni Muungano wenye kusudi kiroho lakini ndani ukiwa ni Muungano ambao ni hatari kiroho ikumbukwe shetani naye anatumia muungano usiofaa kuhakikisha anaondoa uwezekano wa muungano wenye nguvu kumpinga kupatikana maana ni hatari mno kwake. Sasa leo hii naomba tujifunze muungano wa makanisa ulivyo kisha tuone unatupeleka pazuri au pasipofaa,
👇
miaka kadhaa iliyopita niliwahi kueleza kuwa mujngano wa Makanisa tayari upo na unadhihirika kupitia kazi zinazofanywa pamoja kwa baadhi ya nyakati kwa mfano :-Nyakati za sikukuu ya Pasaka na Krismasi

Wale walio katika muungano huo hufurahi na kusherehekea pamoja wakionesha kuwa wanakubaliana katika kazi zao na hivyo wanasherehekea pamoja lakini mimi nina mambo kadhaa ninayojiuliza juu ya washiriki wa Mujngano huo kwani siku zote Muungano huwa una makubaliano fulani ambayo ni lazima yazingatiwe na kutekelezwa, ninaposoma katika Kamusi ya Kiswahili ya Karne ya 21 imeandikwa hivi :-
Muungano : mshikamano wa pande mbili au zaidi kuwa kitu kimoja
👆

Kwa tafsri hii watu hawa ni kitu kimoja lakini kuna maswali ya kujiuliza
1 Ni kwanini hawaamini mambo mengi kwa namna moja?
2 Ni kwa nini hata wao wenyewe hupingana (viongozi wao hawapingani)
Moja ya kauli mbiu yao ni hii
👇

4 Mwili mmoja, na Roho mmoja, kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu.
Waefeso 4 :4
5 Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.
Waefeso 4 :5
6 Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote.
Waefeso 4 :6
Sasa jaribu kuwachunguza kuona kama ni kweli wanaamini katika umoja wa vilivyotajwa hapo ndipo utaelewa kuwa kuna jambo nyuma ya pazia. Hebu ona walio katika muungano huo wanavyotofautiana kimafundisho
👇

Wakatoliki
👉
Hawa hubatiza kawa kunyunyiza maji kiasi kichwani huku wenzao walio katika muungano mmoja wanavatiza kwa kuzamisha watu ndani ya maji mengi.

Walokole+Waprotestanti
👉
Hawa wanaamini Yesu ndiye pekee anayehusika na wokovu wa mwanadamu na tunapaswa kuomba kwa jina lake tu ila Wakatoriki wao wanaamini Bikra Maria ni mwombezi wa wanadamu sawa na Yesu.

Wakatoliki
👉
Huamini kanisa lao ndilo kanisa la Mitume na mengine yote ni ya bandia tu tena wanakwenda mbali wakisema hao wengine ni washenzi (ushahidi upo)
Wakatoliki
👉
Wanaamini kusujudia sanamu ya Maria, Yesu na hata Mitume na watu mashuhuri wengine wa kanisa hilo kuwa ni sawa sawa tu na wala sio kosa ila Walioungana nao hawalikubali hilo.
👆

Hiyo ni mifano michache tu ya kulingana kwa watu walio na kile kinachoitwa ni UMOJA WA MAKANISA TANZANIA.
Ni vema kukumbushana kuwa hamwezi kwenda pamoja wakati hamkubaliani kinyume cha hapo ni uongo tu mnavishana maana hayo ni maneno ya Mungu
👇

Je! Watu wawili waweza kutembea pamoja, wasipokuwa wamepatana?
Amosi 3
:3

Jibu ni hapana, kama mnaelewana ndipo mtakwenda kwa ushirika na ni wazi kuwa waumini wa madhehebu yanayoshiriki katika umoja huu hawaoni tatizo linalowajia bali huona ipo sawa tu na kufurahia wanasahau kuwa huwezi kuwa mhubiri wa Injili ambayo una mipaka ya kukosoa chochote unachoona hakipo sawa. Katika muungano huu suala la kukosoa kile kisicho sawa kwa mwingine ni kosa sasa unadhani ni nani yupo nyuma ya ushawishi huo? Bila shaka kanisa linalojiita la Mitume ndilo lililofanikisha muungano huo ili lijinasue katika kupingwa kwake maana hapo nyuma walitambua vema kuwa kama waprotestanti watasimama sawasawa basi ni wazi wanapaswa kusimamia Biblia tu,
 
Mbona sioni issue yoyote ya maana hapa?
Kwani SDA mmelazimishwa kuungana na makanisa mengine?
Hicho kitabu kinachoitwa: The Keys of This Blood, je wewe binafsi umekisoma?
 
[emoji116]

[emoji115]

[emoji117]

Narudi palepale utengano ni udhaifu..kuuangana kama wakristo ni jambo jema kwa ustawi wa injili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu, Asante kwa kutufumbua macho kwa kweli.. Huu mpango wa kuuwa uprotestant ni kweli na tunaona jinsi mambo yalivo katika makanisa kama Anglican, walutheli na walokole. Sikuhizi utofauti haupo dhahiri kama zamani. Ila pia nimepata kujua kuwa kusudi la kuunganisha dini ni mpango wa new word order.. Wanajiita new age movements. Hawa jamaa wamepenetrate ktk kila Imani kuhakikisha wananeutralize Imani sahihi na kuchomeka za kwako. Ukipata muda, pitia link hii.. Usikie jinsi jamaa aliewahi kuwa kiongozi ktk movement hii anavosema... Mengi yanafanana na ulioandika. Kimsingi inaeleze chimbuko la new word oder..
 
Narudi palepale utengano ni udhaifu..kuuangana kama wakristo ni jambo jema kwa ustawi wa injili.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa kuzingatia misingi ya kutofautiana na mateso waliyopitishwa waprotestant,kuungana na ukatoliki ni kula matapishi na kujielekeza kibla.Hakuna ufanano katika mambo mengi na kwenda pamoja ni sawa na wanaume wakware na makahaba kudanganyana kwamba wanapendana wakati ukweli ni kwamba kila mmoja ana lengo lake na ni adui mkubwa wa mwenzake.Nimewahi kushuhudia kahaba akimshikia panga mwanaume aliyelala naye usiku kucha kisa hajamlipa ujira wake.Mwingie huko Arusha alimkimbiza mwanaume aliyekesha naye mbele ya kadamnasi uchi kisa hajamlipa ujira wake.Hakika yaliyotabiriwa Sasa bado kitambo kidogo yanatimia.
 
Mungu hana dini na ndiyo Maana Alijifanya Mwili akaja ulimwenguni Akachagua Wanafunzi. Na dini Sili kuwapa. Dini ni upuuzi. Maana alienda kwa Katorik mafalisayo wakamtoa mbio, kwa wasabato wakapingana nae anaponya sabato, kwa waislam wakashika mawe akapita katikati yao.

Ukimuuliza Mtu sasa huyo Mungu ni dini gan hana jibu ya nn kujitesa. Heri kuomba uchaguliwe mengine ni iman za Babu zetu tu za kwenda kanisani na kwenda kwa waganga ndo nn giza tupu
 
Baraza la Umoja wa Makanisa Ulimwenguni (World Council of Churches – WCC) liliundwa kikatiba kule Amsterdam, Uholanzi, August 23, 1948. Limejengwa na matawi ya jumuiya mbalimbali zinazotawaliwa na WCC. Lengo la WCC ni kuunganisha dini zote za ulimwengu katika fungate la kiekumene – au Kanisa moja la ulimwengu. Lakini ili kuunganisha dini zote zilizoko ulimwenguni pamoja, mafundisho ya pekee yanayoshikiliwa na makundi haya ya kidini [kama utambulisho wao] lazima yatupiliwe mbali, na mlengo uwe zaidi katika jukwaa la mafundisho ya imani yanayofanana kuwa msingi wa lazima.

Tunajua kwamba ulimwengu wote hatimaye tutakuwa chini ya dini na serikali moja kama anavyosema Padre Malachi Martin wa kanisa Katoliki katika kitabu chake kiitwacho “The Keys of this blood”,
anasema “He is as determined to be world ruler as was Constatine in his day.” p. 49.

Akimaanisha kwamba Papa wa kanisa Katoliki atakuwa kiongozi wa dunia nzima kama
alivyokuwa Constatine wakati wake. Hili pia linathibitishwa na Mungu kama
tunavyosoma kwamba “….akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na
taifa.” Ufunuo 13:7.

Wale watakaokataa kutawaliwa na mnyama huyo watakabiliwa na
kifo maana tayari sheria imetungwa katika mahaka ya kimataifa inayoitwa “The Rome
statute of International Criminal Court.”

Hebu tumsikilize mkuu wa shirika la Jesuits anavyosema:
“See, sir, from this Chamber, I govern, not only to Paris, but to China; not only to China,
but to all the world, without anyone knowing how i do it.” (Tamburini, General of the
Jesuits.)

Yeye anasema kwamba “kutoka ndani ya ofisi hii, ninatawala, sio tu hata Paris, bali
hadi China, sio tu hadi China bali katika ulimwengu wote, bila mtu yeyote kujua jinsi
ninavyofanya.”

HII NI VITA YA KIROHO SIO KIMWILI , HIVO MNASUBIRI MAMBO YAENDE WAZIWAZI, MTAJIKUTA MMESHAPOKEA ALAMA YA MNYAMA

Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo zikiwa zinafanya kazi kwa mwongozo wa Illuminati. Katika taasisi za kidini tunakuta Baraza la Umoja wa makanisa ulimwenguni (World Council of Churches) ambalo lilianzishwa na Illuminati kwa makusudi ya kuunganisha dini zote za Kikristo na kutengeneza “Mnara wa Babeli” wa kiroho.

Tayari kuna makanisa mengi ambayo yamejiunga kwenye umoja huo. Wengi hawajui kama umoja huo uko chini ya chama cha siri cha Illuminati ambacho kina siri kubwa sana katika kutawala dini na dunia kwa ujumla.

Ukitaka kujua kama kanisa lako ni mwanachama wa Baraza hilo unaweza kutembelea mtandao wa Baraza hilo kwenye World Council of Churches

Ieleweke kwamba WCC ina vitengo kama Christian World Communion, Global Christian Forum, nk. ambapo kanisa linaweza lisiwe member wa WCC moja kwa moja ila likawa member wa vitengo vilivyo chini ya WCC.

Ekumeni ni mkakati wa Román Catholic kuyarejesha Madhehebu yote ya Kikristo yaliyojitenga kutoka kwake kipindi cha Matengenezo.
Alama ya ekumeni ni boti lenye msalaba kati ya bahari.
View attachment 2127920
Kwa hiyo dhehebu lolote ambalo Nembo yake Ina msalaba, Ina maana limekubali kurudi Katoliki.

Msingi wake ni imani inayowaunganisha katika Yesu Kristo na kwa njia yake katika #Utatu mtakatifu, yaani Mungu pekee aliye Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Mfano: dhehebu la SDA zamani lilikuwa haliamini fundisho la Utatu, na hata Nembo yake ilikuwa ni ya malaika Watatu, lakini baada ya miaka ya 1981 kupitisha rasmi Fundisho la Utatu, Basi hata Nembo ilibidi ibadilishwe na ili iwe na alama ya Msalaba ambao ni alama ya Nembo ya EKUMENE.

Katika Kitabu kinachoitwa EKUMENE wanakiri kwamba ipo siku Kanisa moja litasimamishwa Uk 63, wanasema:
"Siku moja itakapowadia, ambapo Makanisa hayo yataungana katika umoja wa imani na uongozi, ndipo Baraza la Makanisa la Ulimwengu litaweza kutoweka. Lengo lake ni kwamba Kanisa Moja Takatifu sharti litokee."

Sasa ili kukamilisha Umoja huu ndipo mwaka 1975, ilipitishwa rasmi kwamba fundisho la Utatu ndio liwe Fundisho la Imani linaloyaunganisha makanisa yote.
EKUMENE Uk 63 wanasema"Mkutano wa Wote katika mji wa Nairobi( mwaka 1975) uliyahimiza tena Makanisa kuutafuta umoja wa imani ambao ungejidhihirisha katika ekaristi moja na kanuni ya Imani moja. Hatimaye, Baraza la Makanisa lilikamilisha msingi ule wa imani tuliokwisha kuutaja, kwa kuliingiza neno moja linalohusu #Utatu_Mtakatifu. (Mwisho wa kunukuu)

Kwa hiyo dhehebu lolote linaloamini fundisho la Utatu Ina maana limekubali kurudi Katoliki kupitia mkakati wa EKUMENE.

Na ndio maana Utatu ni Fundisho linalokubalika na karibu Madhehebu yote ya Kikristo, na hata mtu akionekana anapinga Fundisho la Utatu Basi Waumini wa Madhehebu karibu yote ya Kikristo huungana na kuanza kutetea.

Ulokole si uprotestanti bali ndio umeua uprotestanti, Uprotestant si jina tu fulani la kidini bali ni movement ambayo inawaleta watu katika Ukristo wa kibiblia ambao unamfanya mtu kumwabudu Mungu kwa uhuru (Biblia na Kristo tu). Ndio maana kuna kitu kinaitwa "counter reformation" ni harakati iliyoanzishwa na shirika la Jesuit chini ya Papa Paul mnamo 1540 ili kuua uprotestanti. Ndio maana leo unaona uprotestanti hauna madhara tena dhidi ya Roma, zaidi wameipigia magoti Roma na kutaka umoja (kwamba wanarudi nyumbani) naam kumwabudu Mungu kinyume cha dhamiri yao.

Pichani ni mwaka 2014 wakati balozi wa papa Tony Palmer) ambaye ni Muanglikana alivyowakokota waprotestant wa Marekani ambao wanawakilisha 70% ya waprotestant duniani hadi Vatican na kusema Uprotestant umekwisha na kufungua mlango wa maridhiano. Ni Uprotestant ndio umebadilika na si Roma, maana Roma haibadiliki. Kuungana na upapa ni kuuza uhuru wako ambao mababa wa kiprotestant waliupigania hadi kufa.
View attachment 2127916
I am the son of a great Protestant (Martin Luther), I will not bow to the papacy, God help me.

View attachment 2127924

Abu Dhabi building a synagogue, mosque and church in one place, Abrahamic Family House​

Unajaribu kuelekeza mindset za watu ziamini kile mnachoamini ninyi Wasabato

Sio kweli kuwa Ulokole sio Uprotesrant, wote walioprotesr mambo flaniflani ya Roman Catholic ni Waprotestant, Wakiasisiwa na Martin Luther (aliyekuwa padri)

Kama walivyo Lutherans, walokole waliprotest Ibada ya kumsujudia na kumwamini Bikira Maria, kutotubu na kukiri dhambi mbele ya kiongozi wa kabisa, zaidi wakapinga na Ubatizo wa maji machache.

Haimaanishi kuwa kwasababu wanaamini katika Utatu Mtakatifu (Trinity) basi tayari sio Waprotestant.

Pia umeonesha majengo ya Ibada Abu Dhabi. Waarabu Marajiri walifanya hivyo katika mikakati tu ya mipango mji kwao na kuwapa watu Uhuru wa kuabudu lakini sio pamoja

Kama ingekuwa ni kuwaunganisha basi wangejenga jengo moja tu liwe ni kanisa au jengo la Ibada ya pamoja

Wasabato huwa mna jambo hili tu katika mafundisho yenu?
 
View attachment 2127959
Pope Francis And Sheik Ahmad El-Tayeb, Grand Imam Of Egypt's Al-Azhar Mosque And University, Sign Documents During An Interreligious Meeting At The Founder's Memorial In Abu Dhabi, United Arab Emirates

One World Religion Headquarters To Open 2022​

View attachment 2127960

Tangazo la Abrahamic Family House kwenye Kisiwa cha Saadiyat huko Abu Dhabi, linafuatia ziara ya Papa Francis katika UAE mwezi Februari, na ya kwanza katika Peninsula ya Arabia. Katika safari hiyo, papa alitia saini tamko la pamoja na imamu mkuu wa al-Azhar, Dk. Ahmed el-Tayeb, lililotaka kuwepo kwa uvumilivu wa kidini na mazungumzo.

Baraza la madhehebu ya dini mbalimbali la kusimamia miradi na kuendeleza uvumilivu liliundwa kutokana na tamko hilo, .
Kumbe lengo ni kuvumiliana kidini, yaani kila Mmoja au Mamlaka iwavumilie wengine katika dini yao?

Sasa hiyo ndio kuungana kidini?

Huna hoja yenye mashiko bado.
 
Mbona sioni issue yoyote ya maana hapa?
Kwani SDA mmelazimishwa kuungana na makanisa mengine?
Hicho kitabu kinachoitwa: The Keys of This Blood, je wewe binafsi umekisoma?
Hawa hawamwamini yetote kama wanavyoamini mafundisho ya Nabii Mwanamke mama Ellen G. White [emoji23]
 
Back
Top Bottom