Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Baraza la Umoja wa Makanisa Ulimwenguni (World Council of Churches – WCC) liliundwa kikatiba kule Amsterdam, Uholanzi, August 23, 1948. Limejengwa na matawi ya jumuiya mbalimbali zinazotawaliwa na WCC. Lengo la WCC ni kuunganisha dini zote za ulimwengu katika fungate la kiekumene – au Kanisa moja la ulimwengu. Lakini ili kuunganisha dini zote zilizoko ulimwenguni pamoja, mafundisho ya pekee yanayoshikiliwa na makundi haya ya kidini [kama utambulisho wao] lazima yatupiliwe mbali, na mlengo uwe zaidi katika jukwaa la mafundisho ya imani yanayofanana kuwa msingi wa lazima.
Tunajua kwamba ulimwengu wote hatimaye tutakuwa chini ya dini na serikali moja kama anavyosema Padre Malachi Martin wa kanisa Katoliki katika kitabu chake kiitwacho “The Keys of this blood”,
anasema “He is as determined to be world ruler as was Constatine in his day.” p. 49.
Akimaanisha kwamba Papa wa kanisa Katoliki atakuwa kiongozi wa dunia nzima kama
alivyokuwa Constatine wakati wake. Hili pia linathibitishwa na Mungu kama
tunavyosoma kwamba “….akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na
taifa.” Ufunuo 13:7.
Wale watakaokataa kutawaliwa na mnyama huyo watakabiliwa na
kifo maana tayari sheria imetungwa katika mahaka ya kimataifa inayoitwa “The Rome
statute of International Criminal Court.”
Hebu tumsikilize mkuu wa shirika la Jesuits anavyosema:
“See, sir, from this Chamber, I govern, not only to Paris, but to China; not only to China,
but to all the world, without anyone knowing how i do it.” (Tamburini, General of the
Jesuits.)
Yeye anasema kwamba “kutoka ndani ya ofisi hii, ninatawala, sio tu hata Paris, bali
hadi China, sio tu hadi China bali katika ulimwengu wote, bila mtu yeyote kujua jinsi
ninavyofanya.”
HII NI VITA YA KIROHO SIO KIMWILI , HIVO MNASUBIRI MAMBO YAENDE WAZIWAZI, MTAJIKUTA MMESHAPOKEA ALAMA YA MNYAMA
Ili kufanikiwa katika malengo yao ya kuitawala dunia kupitia Dini, uchumi, siasa na Ajira/kazi, Illuminati walifanikiwa kuanzisha taasisi za Kidini, kiuchumi, kisiasa na kazi na ajira, zote hizo zikiwa zinafanya kazi kwa mwongozo wa Illuminati. Katika taasisi za kidini tunakuta Baraza la Umoja wa makanisa ulimwenguni (World Council of Churches) ambalo lilianzishwa na Illuminati kwa makusudi ya kuunganisha dini zote za Kikristo na kutengeneza “Mnara wa Babeli” wa kiroho.
Tayari kuna makanisa mengi ambayo yamejiunga kwenye umoja huo. Wengi hawajui kama umoja huo uko chini ya chama cha siri cha Illuminati ambacho kina siri kubwa sana katika kutawala dini na dunia kwa ujumla.
Ukitaka kujua kama kanisa lako ni mwanachama wa Baraza hilo unaweza kutembelea mtandao wa Baraza hilo kwenye World Council of Churches
Ieleweke kwamba WCC ina vitengo kama Christian World Communion, Global Christian Forum, nk. ambapo kanisa linaweza lisiwe member wa WCC moja kwa moja ila likawa member wa vitengo vilivyo chini ya WCC.
Ekumeni ni mkakati wa Román Catholic kuyarejesha Madhehebu yote ya Kikristo yaliyojitenga kutoka kwake kipindi cha Matengenezo.
Alama ya ekumeni ni boti lenye msalaba kati ya bahari.
Kwa hiyo dhehebu lolote ambalo Nembo yake Ina msalaba, Ina maana limekubali kurudi Katoliki.
Msingi wake ni imani inayowaunganisha katika Yesu Kristo na kwa njia yake katika #Utatu mtakatifu, yaani Mungu pekee aliye Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Mfano: dhehebu la SDA zamani lilikuwa haliamini fundisho la Utatu, na hata Nembo yake ilikuwa ni ya malaika Watatu, lakini baada ya miaka ya 1981 kupitisha rasmi Fundisho la Utatu, Basi hata Nembo ilibidi ibadilishwe na ili iwe na alama ya Msalaba ambao ni alama ya Nembo ya EKUMENE.
Katika Kitabu kinachoitwa EKUMENE wanakiri kwamba ipo siku Kanisa moja litasimamishwa Uk 63, wanasema:
"Siku moja itakapowadia, ambapo Makanisa hayo yataungana katika umoja wa imani na uongozi, ndipo Baraza la Makanisa la Ulimwengu litaweza kutoweka. Lengo lake ni kwamba Kanisa Moja Takatifu sharti litokee."
Sasa ili kukamilisha Umoja huu ndipo mwaka 1975, ilipitishwa rasmi kwamba fundisho la Utatu ndio liwe Fundisho la Imani linaloyaunganisha makanisa yote.
EKUMENE Uk 63 wanasema"Mkutano wa Wote katika mji wa Nairobi( mwaka 1975) uliyahimiza tena Makanisa kuutafuta umoja wa imani ambao ungejidhihirisha katika ekaristi moja na kanuni ya Imani moja. Hatimaye, Baraza la Makanisa lilikamilisha msingi ule wa imani tuliokwisha kuutaja, kwa kuliingiza neno moja linalohusu #Utatu_Mtakatifu. (Mwisho wa kunukuu)
Kwa hiyo dhehebu lolote linaloamini fundisho la Utatu Ina maana limekubali kurudi Katoliki kupitia mkakati wa EKUMENE.
Na ndio maana Utatu ni Fundisho linalokubalika na karibu Madhehebu yote ya Kikristo, na hata mtu akionekana anapinga Fundisho la Utatu Basi Waumini wa Madhehebu karibu yote ya Kikristo huungana na kuanza kutetea.
Ulokole si uprotestanti bali ndio umeua uprotestanti, Uprotestant si jina tu fulani la kidini bali ni movement ambayo inawaleta watu katika Ukristo wa kibiblia ambao unamfanya mtu kumwabudu Mungu kwa uhuru (Biblia na Kristo tu). Ndio maana kuna kitu kinaitwa "counter reformation" ni harakati iliyoanzishwa na shirika la Jesuit chini ya Papa Paul mnamo 1540 ili kuua uprotestanti. Ndio maana leo unaona uprotestanti hauna madhara tena dhidi ya Roma, zaidi wameipigia magoti Roma na kutaka umoja (kwamba wanarudi nyumbani) naam kumwabudu Mungu kinyume cha dhamiri yao.
Pichani ni mwaka 2014 wakati balozi wa papa Tony Palmer) ambaye ni Muanglikana alivyowakokota waprotestant wa Marekani ambao wanawakilisha 70% ya waprotestant duniani hadi Vatican na kusema Uprotestant umekwisha na kufungua mlango wa maridhiano. Ni Uprotestant ndio umebadilika na si Roma, maana Roma haibadiliki. Kuungana na upapa ni kuuza uhuru wako ambao mababa wa kiprotestant waliupigania hadi kufa.
I am the son of a great Protestant (Martin Luther), I will not bow to the papacy, God help me.