Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi ni mbaya sana

Hivi chanzo Cha neno tigo kutumika mtaani kumaanisha sehemu ya nyuma ya siri ilianzaje anzaje
 
Duhh! Hadi nimejuta kufungua hii video. Hapo wa kudili nae wa kwanza ni mwanamke vinginevyo huyo aliechapiwa atakua anaua watu kila siku.
Watu waache hizo tabia unaweza kuta alikuwa anatongoza anakataliwa akawekewa mtego.
 
TIGO walibadilisha jina kwa sababu munalitumia vibaya sasa hivi mumehamia kwa YAS ..
Na YAS sasa imekaa vizuri kuliko hiyo TIGO utadhani wamefanya system upgrade ya matusi[emoji23][emoji23]
 
Wengine wanaua dudu kabisa haliamki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…