mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna alimuua huyo mwamba tu kamuacha huyo DEMUDuh mwamba kaua wote?
Ngoja waje kukupa mwongozoKushenyetwa sijaelewa
Ni uhalifu kama uhalifu mwingineWatu jamani mnamambo Tigo kakimbia jina leo mnamfata hukohuko eti mixx by yas.
Watu waache hizo tabia unaweza kuta alikuwa anatongoza anakataliwa akawekewa mtego.Duhh! Hadi nimejuta kufungua hii video. Hapo wa kudili nae wa kwanza ni mwanamke vinginevyo huyo aliechapiwa atakua anaua watu kila siku.
Upo sahihi, mke wa mtu ni sumu wasiosikia shauri zao.Watu waache hizo tabia unaweza kuta alikuwa anatongoza anakataliwa akawekewa mtego.
Na YAS sasa imekaa vizuri kuliko hiyo TIGO utadhani wamefanya system upgrade ya matusi[emoji23][emoji23]TIGO walibadilisha jina kwa sababu munalitumia vibaya sasa hivi mumehamia kwa YAS ..
Kuliwa tope.Kushenyetwa sijaelewa
Dah hatari sanaHamna alimuua huyo mwamba tu kamuacha huyo DEMU