EURO 2020: Kundi la kifo, Kundi F kuzikutanisha Ufaransa, Ujerumani na Ureno

EURO 2020: Kundi la kifo, Kundi F kuzikutanisha Ufaransa, Ujerumani na Ureno

Cr7 atatoboa,,portugal wananjitaidi kucheza na babu yao huyu,,wanamchezesha vizuri ndio maana games nyingi portugal anscore kuliko club maana uchezaji wa juve haumpi nafasi,,
 
Dah CR7 now kaitwa babu wa ureno. Lkn vijana akina Mbappe hawajatoboa babu ana goal 5 na assist.
Kusema kweli babu CR7 anawanyanyasa sana vijana!!! Bila shaka kwenye kombe la mwakani 2022 atafunika pia. Babu anafukuzia kiatu cha dhahabu wakati vijana wanang'ang'a macho tu!! Ila babu mwenza huko copa amerika mambo si mazuri sana!
 
Ronaldo kumbe mkali hivi?
Naombea Madrid wamrudishe tu.
 
Hili kundi lilikuwa overrated bure, wote wameshaaga mashindano.
 
Back
Top Bottom