eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Lilian Thuram katokea wapi?
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Italia na uswizi mechi iliishaje mkuu.?Tunaomba wale waliosema Italy wapo na kundi dhaifu wajitokeze watuambie kipi kilichomkuta France kwa uswisi ambao walikuwa kundi moja na Italy
Ulipiga Chupa ngapi Jana?Hako ka Mbappe bora ka switch kwenye riadha. Vijitu vingine ni vile vimezaliwa Ulaya. Huyu kima hapa kibongo bongo yenyewe asingepata nafasi uswahilini. Yupo kama yule pimbi mwingine Tuisila.
Huyu pimbi hanifikii hata theluthi kwa ubora ambao bado niko nao kwenye soka licha ya umri wangu.
Denmark watafika mbali SanaaEngland akikutana na mpira wa kihuni wa Denmark au hawa Waswizi hachomoki.
France pia alidraw na Hungary, Hai change fact kwamba kundi lilikuwa gumu.Tunaomba wale waliosema Italy wapo na kundi dhaifu wajitokeze watuambie kipi kilichomkuta France kwa uswisi ambao walikuwa kundi moja na Italy
Zamu ya vibonde so uingereza anafuzu, Germany out.Things are getting even better..
France out
Portugal out
Next ni England.
Nilikua namsikiliza mtangazaji jana, shaqiri ni michuano yake ya 6 hii, na Kuna wachezaji wengine 6 michuano Yao ya 5 mikubwa. Hivyo Wana maturity ya kutosha na wamekaaa pamoja muda mrefu sana.England akikutana na mpira wa kihuni wa Denmark au hawa Waswizi hachomoki.
Italy alishinda goal tatu kwa 0Kwani Italia na uswizi mechi iliishaje mkuu.?
Mkuu maturity ni muhimu sana kwenye hizi knockout stage.Nilikua namsikiliza mtangazaji jana, shaqiri ni michuano yake ya 6 hii, na Kuna wachezaji wengine 6 michuano Yao ya 5 mikubwa. Hivyo Wana maturity ya kutosha na wamekaaa pamoja muda mrefu sana.
Sema kile kikosi cha uswizi hakikuwa form kama hichi cha Jana mkuuItaly alishinda goal tatu kwa 0
Hahahaha sasa mkuu unadhani kuna timu ya kumzuia Denmark??Wanazidi kumpa Ollachuga Oc mdomo
Spain huyu takataka tukimkutanisha na Denmark ametokaBado naendelea kuipa nafasi spain kuchukuwa ubingwa
MwanaeLilian Thuram katokea wapi?
🤣🤣🤣
Michuano yake mikubwa ya nne, maana kaanza kuchezea timu ya taifa 2010Nilikua namsikiliza mtangazaji jana, shaqiri ni michuano yake ya 6 hii, na Kuna wachezaji wengine 6 michuano Yao ya 5 mikubwa. Hivyo Wana maturity ya kutosha na wamekaaa pamoja muda mrefu sana.
Kacheza world cup 3Michuano yake mikubwa ya nne, maana kaanza kuchezea timu ya taifa 2010
1 hr from the kickoff
Where are the lineups?