Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Ulipiga Chupa ngapi Jana?
 
Nilikua namsikiliza mtangazaji jana, shaqiri ni michuano yake ya 6 hii, na Kuna wachezaji wengine 6 michuano Yao ya 5 mikubwa. Hivyo Wana maturity ya kutosha na wamekaaa pamoja muda mrefu sana.
Mkuu maturity ni muhimu sana kwenye hizi knockout stage.

Ngoja tuone leo saa moja watoto wa malkia wataiambia nini dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…