Harry Kane ni kama vile hayupo uwanjaniSouthgate ni miongoni mwa makocha wa hovyo kabisaaaa
By byNampa nafasi Portugal.
Kane katika michuano hii hana tofauti na MbappeHarry Kane ni kama vile hayupo uwanjani
Ila kocha kaamua kupaki basiEngland iko na watu kibao hadi ,unashindwa kuamua nani anaanza nani anabaki ...!
YahAna mtoto mkubwa kiasi hicho!!??
🤣🤣🤣
Hata hivyo Harry Kane amekuwa akishuka kiwango kila msimu na msimu huu ndiyo hovyo kabisaKane katika michuano hii hana tofauti na Mbappe
Amegusa mpira mara 5 tuKane katika michuano hii hana tofauti na Mbappe
Ni mwanae chukulia kama kazaliwa 1997-2003 anaweza kuwa hapo alipoAna mtoto mkubwa kiasi hicho!!??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anahitaji kwenda timu kubwa kama alivyoamuaHata hivyo Harry Kane amekuwa akishuka kiwango kila msimu na msimu huu ndiyo hovyo kabisa
Mechi mbovu kabisaaaaYani hili game upumbavu mtupu wamekutana kopo na funiko utadhani wanacheza Yanga na gwambina.
Hahaha mfumo pia unazinguaAmegusa mpira mara 5 tu
0-0Ngapi ngapi uko wazee