Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Germany wanatoka ...katika maadui zangu zimebaki timu mbili
Belgium
Spain

Hawa wakitoka ..waliobakia yeyote atakayechukua fresh tuu Wala sijali tena [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nataka Spain na beligium watoke then yeyote atakayechukua fresh tuu
 
Germany wanatoka ...katika maadui zangu zimebaki timu mbili
Belgium
Spain

Hawa wakitoka ..waliobakia yeyote atakayechukua fresh tuu Wala sijali tena [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kama mimi tu, ongeza na Italy hapo.
 
Kundi F la Kifo hatimae limekufa kibudu
Mkuu nimefurahi sana

Bado Spain na beligium hawa wakitoka kwangu michuano ya euro imeisha so atakayechukua yeyote kwangu fresh tuu

Nlitamani Portugal au Netherland mmoja achukue lakini wamecheza ushubwada Hadi wametolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…