Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

MKuu umekosa aibu kabisa, yani unavurunda tu na bado unaendelea kukomaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa, njia ya elimination ikishindikana inabidi utumie ya substitution
 
We sio shabiki wa mpira, hizi comment zinaonyesha ufahamu wako wa haya mambo ni mdogo sana.
 
Lile goli la Lampard ndio lilisababisha kuanzishwa GLT (Goal Line Technology)
Halaf hili goli nakumbuka lampard alipiga shuti kali kiasi kwamba ref na hata sisi watazamaji hatukuweza kuona kama ni goli
Nimeangalia tena sasa hv naona ni shuti la kawaida tu
 
We sio shabiki wa mpira, hizi comment zinaonyesha ufahamu wako wa haya mambo ni mdogo sana.

Nyinyi ndio wale washabiki mambumbumbu niliowakusudia

Nilichokizungumza mimi kina shida gani? Hukuona Kante alivyokua akizurura uwanajani kama chizi mpya bila ya msaada wowote kwenye timu?
 
Nyinyi ndio wale washabiki mambumbumbu niliowakusudia

Nilichokizungumza mimi kina shida gani? Hukuona Kante alivyokua akizurura uwanajani kama chizi mpya bila ya msaada wowote kwenye timu?
Mkuu unataka kusema Kante kwenye hii michuano hajaupiga mwingi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…