Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,341
Mswahili sana, ndio maana PSG haina mafanikio UEFAHuyu kaleta mambo ya kibongo kwenye soka LA ulaya
Kushinda World Cup kashaanza kutanua makwapahuyu mbappe ni kijana mpuuzi sana
Italy huyu amtoe spain kumbuka italy final tu alishaga fungwa 4 bila na spain
Tusubiri kwanza kama atamtoa BelgiumItaly huyu amtoe spain kumbuka italy final tu alishaga fungwa 4 bila na spain
Ngumu sanaTusubiri kwanza kama atamtoa Belgium
Hivi Mkuu hii game ya Belgium vs Italy inaoneshwa na channel ipi kupitia King'amuzi cha Azam?Kushinda World Cup kashaanza kutanua makwapa
Sawa, naona hii ya kwnz ya Spain na Switzerland hawaioneshiZBC 2
1-1 twende kaziHii game spain wajiangalie sana any thing can happen. Kumbuka swiss hana cha kupoteza. Goal 1 bado halitoshi kuwakatisha tamaa swiss.
Natabiri hii ngoma inaenda extra tym.