Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Huyu kipa wa swiss ni balaa na nusu, lazima timu kubwa zimmendee
 
Full time after xtra tym 1-1
Shootout sasa. Bado swiss hana cha kupoteza. Wanshinda hii game maana spain ndio wanahofu zaidi
 
Back
Top Bottom