Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Kadi uonevu kabisa, jamaa Kacheza mpira, team ndogo sijui kwa nini zinaonewa, ingekuwa yellow card Sawa
 
As i said. Hii ngoma inaenda xtra tym. FT 1-1. Swiss wanacheza pungufu baada mchezaji wao kupewa red card.
Sasa tunaenda kuangalia 30 za nyongeza. Sijui kama swiss watapona hapa. Maana wale washambuliaji wao wamewatoa wote.
 
Fabian schar mkongwe huyu jamaa ...chochote kinaweza tokea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…