[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]52' Italy wanatanguliaaaa, madhara ya kupaki basi, hatimae wamejifunga
Hata hivyo wanapigwa Sana pressureOwn Goal hali hisia kabisa
Pengo la mtu kama Marco Verratti limeonekanaWaroma wanakosa ubunifu wakifika kwenye eneo la mwisho
Wacha nimalizieSafari njema
Uko sahihiKwa jinsi Italy [emoji634] walivyoikamata game ilibidi wawe mbele by 2/3 goals
LA pili