Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #161
31' Still 0-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni mashindano ya mwaka jana ila yalikamishwa na Covid ndio wakaamua wayafanye mwaka huu, na jina kubaki lilelile(Euro 2020)Why 2020 na huu ni mwaka 2021????
Uturuki sio wabaya
Dhaaaa aiseeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Match ball delivered by remote control car...
#EURO2020 has already peaked! [emoji28]
View attachment 1815747
Na Kenya Ila bongo radio nyingiSema radio nyingi za kibongo sijui kwa nini hazitangazi kama mipira kama nchi nyingne mfano uganda [emoji1254] radio kibao zinatangaza mipira ya nje
Halafu ndio striker sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wa canal plus ni kwendo wa kuangalia kitu 4k uku umewekaa sibuka fm kwa lugha ya kiswahili
HahahaWale wa canal plus ni kwendo wa kuangalia kitu 4k uku umewekaa sibuka fm kwa lugha ya kiswahili
Yes sema italy [emoji634] changamoto
Ukienda kanda ya ziwa karibu na mpakani ligi kuu zote england wanatangazaNa Kenya Ila bongo radio nyingi
N za kimbeambea hawana time na ball
VAR imewanyima Italy tuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wakipata tuu tuta Jorginho lazima aweke kambaniWamewabaniaa sana kama tatu
Ila wakipata tuu tuta Jorginho lazima aweke kambani