Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Wafungaji bora Euro, nafasi ya nani hapo 2020?
IMG_20210611_182711_168.jpg
 
Wale waafrika wenzangu tunaowakilishwa na France tukutane hapa. Bila kubisha na bila kupepesa macho Ufaransa ataenda kuwa bingwa Tena was Euro.
#TeamFrance[emoji1086][emoji1086]
#TeamNgoloKante.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
#Singapore[emoji630][emoji630]
Kuna uholanzi nao ni waafrica wenzetu
 
Huyo ni kilaza, Immobile na Insigne kwake ni wakusuasua lakini Muller na havertz ndio wachezaji wa viwango vikubwa.
Kama unaona insigne anaweza kuifikisha Italy hata robo fainali wewe ndio utakuwa kilaza wa kutupwa.
Hayo ni maoni yangu usipagawe
 
Salama wakuu,

Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.

Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020.

Pia kutokana na Corona, timu zitaruhusiwa kuwa na wachezaji 26 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.

Vilevile, michuano hii itaandaliwa katika nchi 11 tofauti na michuano ya kawaida ambapo nchi mwenyeji huwa ni mmoja tu. Wamefanya hivyo katika kuadhimisha miaka 60 ya michuano hiyo mikubwa barani ulaya kwa ngazi za timu za taifa.

Updates:
Michuano inaanza leo Juni 11 ambapo Turkey Vs Italy watafungua dimba saa 4:00 Usiku.

Michuano itaonyeshwa kupitia Dstv Chaneli 224 (Mechi zote), Star Times na Azam Tv kupitia ZBC2 (Baadhi ya Mechi).

Wale wadau wa kustream mtandaoni, Hesgoal.com ndio sehemu ya uhakika ya kucheki mechi.






Dah, DSTV wangekua hawaonyeshi kwa hio channel mbona ningepata sababu ya kuangalizia nikiwa Bar!
 
Back
Top Bottom