Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hapo Wembley tunasubiri kwa hamu

IMG_1231.jpg
 
Natumaini itakuwa hivyo, kwa muda mrefu Italy ilikosa muingiliano wa damu mpya yenye vipaji hususani eneo la kiungo tokea waanze kuchoka pirlo na de rossi. Safu yao ya ushambuliaji pia ilikosa makali.

safu ya kingo ya Italy
Nicolo Barella - fundi anayekipiga Inter milan
Jorginho
Manuel Locatelli
Marco Verratti

Hapo wamekosekana Pelegrini na Sensi ambao ni majeruhi, wamechomolewa kwenye kikosi majuzi. Hawa watu wana viungo hatari sana
 
Karata yangu ujerumani
Ilkay gundogan
Serge Gnabry
Gorzetka
Joshua kimmich
Leroy sane
Thomas Muller
Toni Kroos( mzoefu)
Kai havertz

2. Portugal
3.France
Hao kina Ciro immobile na jamaa yake insigne ni wazee wa kusua sua
Akina Immobile ni nani?😂
 
Back
Top Bottom