Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Wale waafrika wenzangu tunaowakilishwa na France tukutane hapa. Bila kubisha na bila kupepesa macho Ufaransa ataenda kuwa bingwa Tena was Euro.
#TeamFrance[emoji1086][emoji1086]
#TeamNgoloKante.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
#Singapore[emoji630][emoji630]
 
Benzema, Giroud, Pogba, Kante, Tolliso
 
Uzoefu wao utawabeba sana
Natumaini itakuwa hivyo, kwa muda mrefu Italy ilikosa muingiliano wa damu mpya yenye vipaji hususani eneo la kiungo tokea waanze kuchoka pirlo na de rossi. Safu yao ya ushambuliaji pia ilikosa makali.

safu ya kingo ya Italy
Nicolo Barella - fundi anayekipiga Inter milan
Jorginho
Manuel Locatelli
Marco Verratti
 
Timu zisizo na uwezo zitafika mbali kwa sababu ya namna mashindano yanavyofanyika, mfano Uingereza watakuwa Wembley kwa mechi zao, wakifika mbali mechi zote za nusu fainali zitachezwa Wembley, hii itawapa motisha sana.
 
Lorenzo Isigne ongeza hapo
 
Timu zisizo na uwezo zitafika mbali kwa sababu ya namna mashindano yanavyofanyika, mfano Uingereza watakuwa Wembley kwa mechi zao, wakifika mbali mechi zote za nusu fainali zitachezwa Wembley, hii itawapa motisha sana.
Lakini unaweza ukafungwa hapohapo kwako ujue, Euro 1996 ilifanyika England wakatolewa nusu fainali na Ujerumani, lolote linaweza kutokea
 
Back
Top Bottom