Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,441
Belgium alivuka kwa bahati kwa Portugal ila hapa hachomoi32' Belgium 0-1 Italy
Barella
Anapigiwa mwingi sanaBelgium alivuka kwa bahati kwa Portugal ila hapa hachomoi
Damu za akina Gatusso, Materazi, MaldiniIla hawa mababu wa Italy wanajua kukaba nyieeee
Lakinin mwanzo si ilikuwa offside clear auWakatae tena
Italia. Wapo fit kila idara.Spain bingwa wa michuano hii
Tusiwahukumu dk badoBelgium alivuka kwa bahati kwa Portugal ila hapa hachomoi
Spain.?Hii ngoma Italy watabeba maana sidhani kama kuna timu ina kiwango kuwafikia
Spain walaini tu..Spain.?
Formation ya kumuacha striker mmoja tu ni mbovu kabisa, anakabwa anapotea mazima na anachoka coz hana Mtu wa karibu wa kusaidiana naeBelgium wameingia kwenye mfumo..Lukaku kazi kulalamika tu
Nilimtaja dk kadhaa zilizopitaLorenzo Isigne