Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Ila hawa mababu wa Italy wanajua kukaba nyieeee
Hawa jamaa wanakaba Ni kichomi[emoji4]

Check izo clean sheets Kwenye previous match[emoji116]
Screenshot_20210702-225610.jpg
 
Italy hawana timu nzuri pia, wanaweza kupoteza hili game kabisa, ngoja Martinez afanye sub nzuri aingie Carasco,Mertens au Chadli

Timu ya Italy bado ni nyepesi sana na Vermaelen atolewe amefanya mistakes nyingi
 
Belgium aliponea chupuchupu kwa Portugal.
Belgium ina majina makubwa ila team work zero.
Italy wachezaji wengi siyo majina makubwa ila team work 100%
 
Back
Top Bottom