Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Yani uingereza hatujaconcede goli hata moja mpaka Robo ila bado tu hamtuoni?Hii ngoma Italy watabeba maana sidhani kama kuna timu ina kiwango kuwafikia
Kwann?Delorenzo ni kama Bakari Malima.
Yuko vizuri sanaWashkaji ila li-lukaku linajua kujiseti..
Waitaliano wamuangalie sana huyu mtu mweusi upande wa kushoto jamaa linajua kuanzisha mashambulizi
England Ni Kama debe tupu[emoji4]Yani uingereza hatujaconcede goli hata moja mpaka Robo ila bado tu hamtuoni?
Mtamu Utafikiri sio beki[emoji2]Spinazolla mtu na nusu
BelgiumUfaransa lazima tubebe ndoo.
Yes BELGIUMBelgium huu ni mwaka wao
Man utd sijui walikwama wapi[emoji4]Washkaji ila li-lukaku linajua kujiseti..
Waitaliano wamuangalie sana huyu mtu mweusi upande wa kushoto jamaa linajua kuanzisha mashambulizi
BelgiumHispania
Alikuwa na njano Mancini kaogopa atakula redSub ya veratti sijaielewa. Alikuwa anakichafua sana kiungo pale mbele. Ila itakuwa ni game plan. Maana zimebaki dk14
[emoji26]imeniuma sanaSpinaxolla ameumia anaomba sub
Kocha katumia akiliAlikuwa na njano Mancini kaogopa atakula red
Italy wataruhusu goli kwa jinsi ninavyoona hasa baada ya sub hiziSub ya veratti sijaielewa. Alikuwa anakichafua sana kiungo pale mbele. Ila itakuwa ni game plan. Maana zimebaki dk14
Verratti ana Yellow card ujueSub ya veratti sijaielewa. Alikuwa anakichafua sana kiungo pale mbele. Ila itakuwa ni game plan. Maana zimebaki dk14