Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #221
Nilisema mapema tuuIla huyu Immobile ataweka kamba muda wowote
KabisaWakiendelea hivi ata nne zitafika
Popa anacheza ligi hiyohiyo lakiniWaturuki wanajua kupanga matokeo tu hakuna ligi kule, wanarukaruka tu
Popa anacheza ligi hiyohiyo lakini
Sure brother, timu za uturuki zilikuwa zamani, Galatasaray iko makini, Fenebhace, na wengine lakini sasa hivi wenye nguvu ni Trabzonspor au instanbul basehirPopa anacheza ligi hiyohiyo lakini
Hahaha nakuishia kupaishaStrikers wanatakiwa wajifunze goli la fundi immobile..mi najua wa kwetu angepiga shuti tu
Umeongea point mkuuSure brother, timu za uturuki zilikuwa zamani, Galatasaray iko makini, Fenebhace, na wengine lakini sasa hivi wenye nguvu ni Trabzonspor au instanbul basehir
Hahaha umri nao tatizo[emoji4][emoji4][emoji4] napo pashamshinda
Au kumbabua mtu...Hahaha nakuishia kupaisha