Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wameniuzi hamna hata mchezaji mweusi hata benchi hayupo[emoji34][emoji34][emoji34]Mwaka huu wana timu nzuri
Mkuu umeona kazi ya Insagne leo??Karata yangu ujerumani
Ilkay gundogan
Serge Gnabry
Gorzetka
Joshua kimmich
Leroy sane
Thomas Muller
Toni Kroos( mzoefu)
Kai havertz
2. Portugal
3.France
Hao kina Ciro immobile na jamaa yake insigne ni wazee wa kusua sua
Chelsea everywhere [emoji1][emoji1]
Chelsea everywhere [emoji1][emoji1]
Chelsea everywhere [emoji1][emoji1]
Waitaliano na watu weusi wapi na wapi?Ila wameniuzi hamna hata mchezaji mweusi hata benchi hayupo[emoji34][emoji34][emoji34]
Hao Turkey hamna kitu mtuDuh Hawa Italy ni Moto mwanzo mwisho...Naona Kama watafika mbali Sana
Ulikuwa unaangalia na performance ya hao waturuki? Kifupi hakuna timu pale, Wales nae ni utopolo anaeweza kumchallenge Italy kidogo kwenye hilo group ni Switzerland tu, Hata italy akiongoza kundi sio ishu kubwa.Mkuu umeona kazi ya Insagne leo??
#Singapore
Na hapo Italy hawakutimia woteYani Chiellin alikuwa anacheza 9 badala ya 5,Turkey hamna kitu
Na pale ni Italy bila VerrattiDuh Hawa Italy ni Moto mwanzo mwisho...Naona Kama watafika mbali Sana
hahaha sawaHao Turkey hamna kitu mtu
Italy hawafiki popote
Ila wameniuzi hamna hata mchezaji mweusi hata benchi hayupo[emoji34][emoji34][emoji34]
Hao Turkey hamna kitu mtu
Italy hawafiki popote
Huyo kakalili tu majina makubwa ya timu halafu mpira hafuatilii. Kaitaja Netherlands kuwa ndio kipimo cha Italy halafu kashindwa kujua hao Netherlands wamefungwa na hao hao Italy. Watu wanaangalia majina makubwa mfano Germany wamefungwa kwao goli mbili na kiinchi kidogo tu cha Macedonia kwenye kufuzu kombe la dunia.Kumbuka tu uturuki haohao walichukua point 4 kwa france kwenye qualifying
Salamu ni nzito sanaHIZI NI SALAMU TU KWA WALE WOTE WALIOKUA WAKIIBEZA ITALY