Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Matokeo.png
 
Mkuu umeona kazi ya Insagne leo??
#Singapore
Ulikuwa unaangalia na performance ya hao waturuki? Kifupi hakuna timu pale, Wales nae ni utopolo anaeweza kumchallenge Italy kidogo kwenye hilo group ni Switzerland tu, Hata italy akiongoza kundi sio ishu kubwa.

Kuna timu ambazo haziwezi kuchukua hilo kombe lakini, ukikutananazo ukapata matokeo, kinaweza kuwa ni kipimo kizuri mfano Netherlands, England, Spain na Belgium
 
Italy are one of the tournament's favourites and their victory over Turkey is not an accident.
 
Kumbuka tu uturuki haohao walichukua point 4 kwa france kwenye qualifying
Huyo kakalili tu majina makubwa ya timu halafu mpira hafuatilii. Kaitaja Netherlands kuwa ndio kipimo cha Italy halafu kashindwa kujua hao Netherlands wamefungwa na hao hao Italy. Watu wanaangalia majina makubwa mfano Germany wamefungwa kwao goli mbili na kiinchi kidogo tu cha Macedonia kwenye kufuzu kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom