Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Ulikuwa unaangalia na performance ya hao waturuki? Kifupi hakuna timu pale, Wales nae ni utopolo anaeweza kumchallenge Italy kidogo kwenye hilo group ni Switzerland tu, Hata italy akiongoza kundi sio ishu kubwa.

Kuna timu ambazo haziwezi kuchukua hilo kombe lakini, ukikutananazo ukapata matokeo, kinaweza kuwa ni kipimo kizuri mfano Netherlands, England, Spain na Belgium
Waturuki mbona wameupiga mwingi Sana mkuu ..vyenga vya kutosha na on target za maana sema Italy iko form tu ndo maana wakashinda. Ila sioni Kama watafika hata robo fainal
 
Priiiiiii tukutane saa moja
IMG_20210612_114524_331.jpg
IMG_20210612_114527_093.jpg
IMG_20210612_114532_758.jpg
IMG_20210611_230352_504.jpg
 
Back
Top Bottom