Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Naona Mancini kaona tatizo anataka kufanya sub
Huyu jamaa wa kitambo sana. Namkumbuka kama yule kipa wao za zamani Buffon. Ile poem yake ya 2016 ilinisisimuaChiellini leo anapiga sana pasi mkaaa
Naona Chiesa na Mancini kama wametofautianaItaly leo wamezidiwa na pressing ya Spain
Wanaogopa sura za akina BonucciSpain wakifika kwenye box la Italy ni kama wanapaniki wakiona mabeki wazee wanabutua tu.
Ndio mpira wao MkuuNimeshangazwa na Spain kutawala possession kwenye hii nusu ya kwanza!
Spain kutawala sio swala la kushangaa.. ni kama vile Italy kukaba ndio tabia yaoNimeshangazwa na Spain kutawala possession kwenye hii nusu ya kwanza!
Mpira bi mchezo usiotabirikaNimeshangazwa na Spain kutawala possession kwenye hii nusu ya kwanza!
Namsikiliza Alan Shearer anasema siyo kwamba wanabutua makusudi ni wamezidiwa akili ndiyo maana wanabutua.Wanaogopa sura za akina Bonucci