Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,761
Kutoka maktaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa Italy sina shaka ila kwa Denmark sidhani. Safari hii England wanaingia FinalNgoja nikunjue jamvi hapa, Nusu saa to kick offView attachment 1843775
Lets waitMy prediction
1-1..
Italy to win by penalt shootouts.
Kama kawaida kabisaMkeka bado unapumua?
Uko sahihi kbs mkuu..ngj tusbr uzr mda wnyw ndo huu..lkn Italy wataimiss sana Service ya Spinnazola asa chemistry yake ya kushambulia na Insgne...na nimeona leo Morata bench pia...may the best team win.Spain hawana striker lakini katikati bado wapo vizuri.
Top 3 ya wachezaji waliopiga pasi nyingi kwenye box Euro toka michuano Ianze yote ina waspain, pedri, Alba na Bosquet.
So far spain nawaona kama Arsenal, hawatabiriki kabisa siku unadhani wanafungwa ndio wanashinda.
Leo Morata kama kaamka vizuri mapema tu Italy wanaondoka.
Kesho sio mbali ngoja tusubiriHapo kwa Italy sina shaka ila kwa Denmark sidhani. Safari hii England wanaingia Final
Sahihi au wategemee Waache italy wachezr hlf wapige counter naona leo mbele pale kaweka vibelenge wa speed waweze kuwanyanyasa hawa wazee wawili wa katkat..haitakua rahis..lkn ngj tuone.Game yao ya kwanza dhidi ya aweden walipiga passes more than 900+. Ball possession walikuwa na 85%. Hii game kwa sare tasa.
Boda wana zile tabia za tiktak hawa jamaa. Kwa forward za aina ya Morata spain hawawezi kuifungua backline ya italy. Labda wategemee magoli kupitia set pieces.
Ngoja tuone mechi hii itaendajeKama kawaida kabisa
Dstv ulimwengu wa mabingwa, sijajua kama Azam Tv anaonyesha kupitia zabc2 sijajuatunacheki hii euro Kwa visimbusi gan wajomba?? msaada tafadhar