Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Kutoka maktaba

424E5866-0B3A-4C2B-8D1A-DCB7720B02B6.jpeg
 
Spain hawana striker lakini katikati bado wapo vizuri.

Top 3 ya wachezaji waliopiga pasi nyingi kwenye box Euro toka michuano Ianze yote ina waspain, pedri, Alba na Bosquet.

So far spain nawaona kama Arsenal, hawatabiriki kabisa siku unadhani wanafungwa ndio wanashinda.

Leo Morata kama kaamka vizuri mapema tu Italy wanaondoka.
Uko sahihi kbs mkuu..ngj tusbr uzr mda wnyw ndo huu..lkn Italy wataimiss sana Service ya Spinnazola asa chemistry yake ya kushambulia na Insgne...na nimeona leo Morata bench pia...may the best team win.
 
Game yao ya kwanza dhidi ya aweden walipiga passes more than 900+. Ball possession walikuwa na 85%. Hii game kwa sare tasa.

Boda wana zile tabia za tiktak hawa jamaa. Kwa forward za aina ya Morata spain hawawezi kuifungua backline ya italy. Labda wategemee magoli kupitia set pieces.
Sahihi au wategemee Waache italy wachezr hlf wapige counter naona leo mbele pale kaweka vibelenge wa speed waweze kuwanyanyasa hawa wazee wawili wa katkat..haitakua rahis..lkn ngj tuone.
 
Today Giorgio #Chiellini become the first footballer to play five matches against the same opponent in European Championship's history (v Spain). Duel.
 
Back
Top Bottom