Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Roberto Mancini reached two major tournament semi-finals with Italy as a player:

[emoji777] 1988 Euros
[emoji777] 1990 World Cup

Roberto Mancini’s first major tournament with Italy as a manager:

[emoji736] 2020 Euros

Roberto’s Redemption.
IMG_20210707_004917_553.jpg
 
Wewe kama na nani unaongea hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama niliwahi kuchungulia safari fupi ya France, Portugal na Germany na kuipa nafasi kubwa Denmark kuchukua ndoo hata kabla haijaingia robo fainali.

Tukutane kesho, maana kwenye huu uzi mashabiki wa Denmark ni wawili tu, mimi Mac Alpho na @Ollachuga [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu Ollachuga anajiita Doha City, poa tukutane hapa kesho
 
#ITA [emoji777][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
#ESP [emoji777][emoji736][emoji736] [emoji777]

ITALY REACH THEIR FOURTH EUROPEAN CHAMPIONSHIP FINAL [emoji122]

#EURO2020
 
Italy have now reached their 10th major tournament final (World Cup/Euros) - only Germany (14) have participated in more major tournament finals amongst European nations than Italy (incl. Euro 2020). Pedigree.
#EURO2020 #ITA
 
Back
Top Bottom