Hata mm natamani vitu vizuriMkuu acha Tamaa baki na Croatia yako [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Fozza AzzurriItaly asanteni kwa kushiriki, finali anaenda spain
Pamoja sana mkuuSee you tommorow guys..Goodnight.
We jamaa..nimebet huku ooh oNimefurah team zote ambazo sizipendi zimeshatoka
Germany
Beligium
Spain
Kwenye hii euro nlimpa
Portugal
Au
Netherland
Kwa bahati mbaya mapema tuu wakatoka [emoji2][emoji2][emoji2]
Hapo final Nampa Italy....
England kesho atalia na kusaga meno uwanja wa nyumbani
From Home to Rome..who knows??!! 😀Fozza AzzurriView attachment 1844026
Tusubiri mkuu dk 90 zitaamuammmm mkuu chamdomo kesho anaweza kumpinga Denmark
Nitaweka baada ya kuona sarakasi za chamdomo
Angeweka hela sasa, asingeamini macho yakeMkuu Leo umeamka vizuri ...
Napatia kwa kuwa siweki senti, ukiweka senti mbona utasaga meno. HahahahaaWee jamaa fundi Sana, utakua na undugu na mzee mpili[emoji4]
Mpira saa nyingine ni mchezo wa kuumizaMan of the matchView attachment 1844028
Olmo alistahili hii tuzo
Ilipofika zamu yake nilimuombea sana akose, moyo ukawa unaenda mbio hatimaye maombi yangu yakajibiwa.Morata nilijua atakosa...
Morata katingisha meza yenye vinywajiAliyekupandisha ndiye atakayekushusha....Morata kamwaga uji wa moto Spain
Daaah watu wabaya sanaIlipofika zamu yake nilimuombea sana akose, moyo ukawa unaenda mbio hatimaye maombi yangu yakajibiwa.
Bila shaka hiyo ndio ndoo ya Euro pekee waliyonayo kabatini...Mara ya mwisho Italy kutwaa ndoo ya Euro ni mwaka 1968
Sema lile Maguire pale nyuma linatisha sana ni kizuizi kikubwa sanaKabla ya uingereza kupoteza mechi wajitahidi wapinzani hata kufunga goli kwanza. Haiwezekani hadi nusu timu haijaruhusu Goli.
Bado uko imara, twamsubiri chamdomo kwa hamuUtabiri huu bado unasimama?
Yah mkuu, hivyo watajaribu kuongeza ya pili hapo JumapiliBila shaka hiyo ndio ndoo ya Euro pekee waliyonayo kabatini...