BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Hizi pks za Colombia ni mbovu aibu. Sijui hata kama wamewahi kupractise kupiga pks hawa jamaa.
Hii Argentina haitoboi kwa Brazil. Brazil is loaded while Arg is fading away.
Argentina wanatuangusha kwakweli....mbaya wetu ametolewa(Chile) kwa brazil sijui kama tutatoboa, labda wabadilike
Tukutane hapa saa 4 usikuDenmark tutawashangaza wengi
Daah, Argentina wamejambishwa hadi matuta.Hili ni gari la mwsh kbs tunao sbr Copa America..#ArgentinaVsColombia..wadau mpo kwl..
Mko sahihi pia mkuuUko sahihi kabisa Mkuu!! Tunaomkubali Messi10 pia tuko nae hata kama hatishinda kikombe chochote na Argentina... Je, cc tunakosa gani Mkuu???
Kvp mkuu wakat ameikosa penatMan of the matchView attachment 1844028
Olmo alistahili hii tuzo
CONGRATULATIONS FOR CORRECT PREDICTION 🌹🌹🌹My prediction
1-1..
Italy to win by penalt shootouts.
Hivi Fred vipi perfomance yake?Sioni wakitoboa mkuu. Hii timu anayecheza ni Messi tu, Brazil kila mtu anashinde nimeangalia games zao zote Brazil ipo vizuri and on top of than wanachezea fainali Brazil.
Hapo mwisho weka kabisa ItalyNarudisha mkeka wangu nyuma ya mlango hadi baadae tenaView attachment 1844017
Daa kusema mpira wa itali jana ulikuwa wa kawaida sana, walikamatwa idara zote na wale wacheza saksasi.Vichekesho kama hivi tunavipata kupitia namba ipi?[emoji23][emoji23]
[emoji23]Fozza AzzurriView attachment 1844029
Mapema sana kutabiri mkuu, waingereza wamebadilika wako vzr recentlyWatu tunaangalia ushindi ...tukutane fainal ndo tutajuana zaidi
Labda nkupe habari tuu kesho England anapigwa kwao
Kweli mkuu, ila Italy mpira wao leo ulikuwa sio ule wa kash kash, walizidiwa idara zote na wacheza saksasi.Penalty hazinaga mjuzi Mkuu. Hapa atakaejaliwa ndiyo anakwenda mbele. All in all, ngoja tuone.!!!
Jana kila timu ilikuwa ikicheza aina ya mpira wao, Spain kacheza mpira wao wa tiktak wakati Italy wamelazimika kutawalia na kupaki basi ili kucheza mpira wa counter attack na pengo la spinazzola limeonekana kwa ItalyDaa kusema mpira wa itali jana ulikuwa wa kawaida sana, walikamatwa idara zote na wale wacheza saksasi.
Kuna muda unahitaji uwe na bahati zaidi katika sokaDaa kusema mpira wa itali jana ulikuwa wa kawaida sana, walikamatwa idara zote na wale wacheza saksasi.
Nakubaliana na ww mkuu. Thou matamanio yangu n kuona England wakimwaga machozi hapo hapo nyumbani kwao [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ni roho mbaya tuu kwa waingerezaMapema sana kutabiri mkuu, waingereza wamebadilika wako vzr recently
It's not coming home..Nakubaliana na ww mkuu. Thou matamanio yangu n kuona England wakimwaga machozi hapo hapo nyumbani kwao [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ni roho mbaya tuu kwa waingereza
Ile sio PanenkaJoghihno Panenka
Tutaitazama kupitia hesgoal.comArgentina and brazil, final...
Usiku wa kuamkia tarehe 11...saa tisa
Sio ya kukosa hii mkuuTuta
Tutaitazama kupitia hesgoal.com