Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Argentina wanatuangusha kwakweli....mbaya wetu ametolewa(Chile) kwa brazil sijui kama tutatoboa, labda wabadilike

Sioni wakitoboa mkuu. Hii timu anayecheza ni Messi tu, Brazil kila mtu anashine nimeangalia games zao zote Brazil ipo vizuri and on top of that wanachezea fainali Brazil.
 
Sioni wakitoboa mkuu. Hii timu anayecheza ni Messi tu, Brazil kila mtu anashinde nimeangalia games zao zote Brazil ipo vizuri and on top of than wanachezea fainali Brazil.
Hivi Fred vipi perfomance yake?
 
Daa kusema mpira wa itali jana ulikuwa wa kawaida sana, walikamatwa idara zote na wale wacheza saksasi.
Jana kila timu ilikuwa ikicheza aina ya mpira wao, Spain kacheza mpira wao wa tiktak wakati Italy wamelazimika kutawalia na kupaki basi ili kucheza mpira wa counter attack na pengo la spinazzola limeonekana kwa Italy
 
Back
Top Bottom