Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Shida ya England hakuna fowadi wazoefu pindi mbinu za kawaida zikishindwa ndio maana unaona hawana jipya licha ya kufika kwenye box mara nyingi zaidi.
Kwamba Kane sio Forward mzoefu? Ukimtoa Ronaldo hakuna Striker zaidi ya Kane Euro Hizi.

Ni kwamba tu England wanacheza na wakabaji wengi ndio maana hawafungi magoli mengi.
 
Kwa hiyo wameishiwa mbinu? Si ndio maana nimesema Kane na Kocha wameshindwa kuifanya timu ipate magoli
 
Hawajaishiwa mbinu, Bali hio ndio mbinu ya kocha, ku defend kwanza kufunga baadae ndio maana unaona kuanzia no 10 mpaka midfield wote ni wakabaji.

Ndio maana uingereza Hawaja Concede open play goal mpaka sasa hivi, japo Wana kipa shati.
 
Endelea kujifariji ,wamepachikwa na Denmark huku goli lenu ni msaada wa kujifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…