Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kwamba Kane sio Forward mzoefu? Ukimtoa Ronaldo hakuna Striker zaidi ya Kane Euro Hizi.Shida ya England hakuna fowadi wazoefu pindi mbinu za kawaida zikishindwa ndio maana unaona hawana jipya licha ya kufika kwenye box mara nyingi zaidi.
Ni kwamba tu England wanacheza na wakabaji wengi ndio maana hawafungi magoli mengi.