Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hii sheria ya upigaji penati itazamwe upya.

Huwezi mpa mpigaji "double advantage". Ni unyang'anyi kwa timu pinzani.

Akipiga penati asiruhusiwe kuucheza tena mpira ikitokea "rebound" ya namna yeyote ama vinginevyo mpira huo umeguswa na mchezaji wa ndani wa timu pinzani.
 
Inaonekana kama fainali inaweza kuwa Italy Vs England

Je Italy atakubali kufungwa fainali ya tatu mfululizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…